Recent content by phocas adrian

  1. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

    Una uhakika na ulichokiandika? Do simple research pls. Usafiri wa train ndio very chip duniani na ndio unapendwa na wengi. Usijaribu kutudanganya. Mradi wenyewe tulipigwa, haikutakiwa kujengwa kwa trillioni saba na ushee. Kwenye vichwa napo tumeletewa vibelenge (huyu anasema vibelenge vipya yule...
  2. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

    Kwahiyo mnataka kutwambia kuwa wakuu wa miko sio wanasiasa? Hivi mnatuonaje kwa mfano?
  3. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Camilius Wambura, Inspekta wa Polisi - Mpenda haki

    Mshaanza kujikanyaga wenyewe. Tupe na historia ya elimu yake
  4. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Kwahiyo sisi tunafanya biashara au ndege tumenunua kama mapambo?
  5. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Wanaomshangilia Makamba sasa hivi baadae watamgeuka na kumuacha peke yake, Magufuli ni kete ya ushindi wa CCM

    Hapo umekosea. Tuna wapiga kura wajinga kiasi cha a number raised to power 1000.
  6. phocas adrian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopenda Kubebelea Watoto Taifa Hamjifunzi Tu?

    Sio hiyo 2, makolo wakifungwa mzazi anaweza akakata roho na kuacha yatima uwanjani.
  7. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Nayashitaki makampuni manne ya simu

    BASHIR YAKUB, Wakili. 0714047241 Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30 ninacholalamikia yakishindwa naendelea...
  8. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

    Umesahau na Felsechim Mramba! Huyu naye alitumbuliwa na Magu na kuletwa huyu aliyetumbuliwa na Hangaya. Tanzania haya mambo ni ya kawaida. Nobody takes record. Ni just kitenda cha kuota au kuambiwa na wapambe afu kesho ukafanya uteuzi. Afu CV huwa haziangaliwi, mtu akisharipoti kazini ndio CV...
  9. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    Hivi kwanini nchi inaongozwa na wazanzibari (pote bara na visiwani)? Hii ilishawahi kutokea kweli?
  10. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ijenge tunnel kati ya soko la Ferry Kivukoni na upande wa pili wa Magogoni

    Wapige hesabu, kwa kushirikiana na mabeberu tutatoa mkwanja afu hela ya tozo ielekezwe kwenye ujenzi wa zahanati, shule, barabara na ile sanamu ya ukumbusho Dodoma
  11. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ijenge tunnel kati ya soko la Ferry Kivukoni na upande wa pili wa Magogoni

    Wapige hesabu nitoe mkwanja, very simple
  12. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Midege ilinunuliwa ili ikafanye nini kama haiwezi kuruka kwenda kwa wenzetu? Atapanda nani sasa kama Hangaya anaogopa? Mmenunua ndege ili ziende chato na kurudi sio + kwenda mikoa mingine ya Tanzania bara??
  13. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Je, ni upi ulazima wa viongozi kwenda airport kila mara Rais anapoondoka au kurudi nchini kwa njia ya anga?

    Ujinga wetu ndio unatufanya tuwe malimbukeni! Kazi kutumia kodi za watanzania bila sababu ya msingi.
  14. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

    Yeye kakwambia ni mwanachma wa chadema? Au ndio kuwa na mawazo mgando?
  15. phocas adrian

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Akili zako ziko sawa kweli?
Back
Top Bottom