Ushauri: Serikali ijenge tunnel kati ya soko la Ferry Kivukoni na upande wa pili wa Magogoni

Lile daraja liko mbali sana. Wajenge hiyo tunnel kisha watutoze kama kwenye daraja haina shida.
meli si italikanyaga mkuu, maana sababu kubwa ya kupeleka daraja upande wa kule ni kupisha njia ya meli kuingia bandarini.
 
Itakanyaga vipi mkuu? Tunnel inapita chini ya maji sasa meli itakanyaga kivipi?
tueleweshe mkuu, hiyo sijui kwa nini hawakuliona before? ni njia nzuri na sehemu yenyewe ni fupi...

ila nafikiri miungombinu iligoma sehemu ya kuingilia na sehemu ya kuibukia... gharama kubwa sana.

barcelona-spain-10-november-2014-260nw-1469773520.jpg
 
Kama title inavyosema. Hili jambo la kujenga daraja kati ya Ferry na kigamboni kama ni gumu na lina gharama kubwa nashauri serikali ijenge tunnel ya chini ya bahari.
Wapige hesabu, kwa kushirikiana na mabeberu tutatoa mkwanja afu hela ya tozo ielekezwe kwenye ujenzi wa zahanati, shule, barabara na ile sanamu ya ukumbusho Dodoma
 
tueleweshe mkuu, hiyo sijui kwa nini hawakuliona before? ni njia nzuri na sehemu yenyewe ni fupi...

ila nafikiri miungombinu iligoma sehemu ya kuingilia na sehemu ya kuibukia... gharama kubwa sana.

barcelona-spain-10-november-2014-260nw-1469773520.jpg
Ni kweli mkuu sababu pengine ilikuwa kama hizo ulizotaja sehemu ya kuingilia hasa ingebidi barabarani iwe pana kuruhusu flow nzuri ya magari sasa kwa pale utabomoa majengo ya serikali na pia labda gharama kubwa ingawa gharama si wangeweza kuweka malipo kama kule darajani tu.
 
Nimeangalia gharama za kujenga TUNNEL ya urefu wa Mail 11 ni $10 billion. Kwa hela ya kitanzania inakuwa Trillion 23.

Hii hatuwezi ndugu, nchi yetu ni maskini mno - HATUWEZI.
 
Nimeangalia gharama za kujenga TUNNEL ya urefu wa Mail 11 ni $10 billion. Kwa hela ya kitanzania inakuwa Trillion 23.

Hii hatuwezi ndugu, nchi yetu ni maskini mno - HATUWEZI.
Sasa panapoongelewa ni mail 11?

Sema plan ndiyo haipo lakini fedha zipo, mbona maSGR yanajengwa?
 
Back
Top Bottom