Je, ni upi ulazima wa viongozi kwenda airport kila mara Rais anapoondoka au kurudi nchini kwa njia ya anga?

Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi wetu wakuu wa nchi kujazana pale uwanja wa JKIA endapo mh Rais anakwea pipa kwenda nje ya nchi au endapo anarudi kutoka nje ya nchi.

Hii desturi imenifanya nijiulize swali ambalo sijapata majibu hadi dakika hii. Can’t the president just land and go home/state house peacefully without unnecessary and useless speeches which are always delivered after disembarking from shitplane?

I think what they do is dangerous kiusalama.

Maswali sitaki, nikisema nimesema

Ni mambo ya ajabu, kweli wanafikiri jinsi ya kutumia kodi zetu vizuri?

Mabilioni yanateketea kwa vitu visivyo na tija na visivyo na tija kiusalama.
 
Kuna msela nimemuuliza hapa kaniambia eti huu utaratibu uliwekwa zamani ili kuhakikisha kweli kiongozi anaenda, isije tukapata Rais mtoro akapewa hela halafu asiende au akachelewa kurudi🤣
 
Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi wetu wakuu wa nchi kujazana pale uwanja wa JKIA endapo mh Rais anakwea pipa kwenda nje ya nchi au endapo anarudi kutoka nje ya nchi.

Hii desturi imenifanya nijiulize swali ambalo sijapata majibu hadi dakika hii. Can’t the president just land and go home/state house peacefully without unnecessary and useless speeches which are always delivered after disembarking from shitplane?

I think what they do is dangerous kiusalama.

Maswali sitaki, nikisema nimesema
Habari za nchi ni lazima uzisikie pale unapotua
 
Simple answer: "Wanakula jasho la walalahoi".
 
Hivi wale wanaojazana pale Airport si wengi wana PhD, hizo PhD huwa zinawasaidia nini ?
With all my respect kwako maana sijui umri wako unaonekana hauna tofauti kabisa na middle class wetu including wale waliojazana pale Airport,jitahidi uwe unasoma to understand sio to ask questions.
 
You are right
 
Inaathiri maisha yake na Watanzania wote. Kodi zinatumika kwa matumizi yadiyo na umuhimu wowote.

Tungeanzia hapo kupunguza matumizi.
Maisha ya binadamu ni miaka 70, zaidi ya hapo ni ziada tu, biblia inatuambia. Sasa wewe endelea kuishi maisha ya kusononeka kuwa unaibiwa, kisa kuna Kiongozi kaunguza mafuta kwenye Viete kwenda Airport kumpokea Mama!
 
Huu Utaratibu Ukifutwa Huenda HAA Hata Zabayanga
Jana Asingemwaga Upupu Kuwa Nchi Yako Ipo Salama
ila Lingetokea Jambo Sijui Ningefanya Nini Mimi!!~~
 
Mimi nakula burudani tu. Nashangaa kwanini mtu ujipe mateso kwa mambo yasioathiri maisha yako..
Wewe ni mbinafsi.au inaonekana hujui athari za uongozi mbovu zinavyoweza kuathiri uchumi wa nchi hadi wa mwananchi mmoja mmoja ndugu zako kule kijijini wakiwemo.
 
Nyerere killed this country and its economy
iv nyie wapumbv wachache mnajua thamani ya nyerer katk ili taifa? wakat uo yeye anapambania uhuru wa hii nchi, babu zenu walikuwa wakikimbizana uchi maporini wakilewa na kumiliki wanawake waliokuja kuzaa watoto vilaza, em kuweni na adabu kwa huyo kiongoz, mapungufu yake yasiwafanye mumuone mnyonge, wakat nyie ni hovyo

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi wetu wakuu wa nchi kujazana pale uwanja wa JKIA endapo mh Rais anakwea pipa kwenda nje ya nchi au endapo anarudi kutoka nje ya nchi.

Hii desturi imenifanya nijiulize swali ambalo sijapata majibu hadi dakika hii. Can’t the president just land and go home/state house peacefully without unnecessary and useless speeches which are always delivered after disembarking from shitplane?

I think what they do is dangerous kiusalama.

Maswali sitaki, nikisema nimesema
Ni justification ya kupiga pesa za umma
 
Back
Top Bottom