Recent content by philosophy

  1. philosophy

    Dhana ya uzalendo ni kama mfumo wa mapenzi ya mzazi na mwanawe: mtazamo wa kimetafizikia (act and potency)

    Suala la upendo wa mtoto kwa mzaziwe ni la kimaumbile (nature) kwani mtoto ni damu ya mzazi, hivyo upo mvutano halisi na wa kiasili ambao kwao dhana ya upendo imejengwa kama uwezekano ila haijawa (potency) na ili upendo ukamilike uwe dhahiri (to be actualize) yapaswa mzazi kufanya mazoezi ya...
  2. philosophy

    Mitaala yetu ianzishe somo la falsafa

    kweli kabisa kinachotakiwa ni sisi ambao tunajaribu kuona umuhimu wa elimu hii kupigia kelele elimu hii isambazwe kwa watu wote
  3. philosophy

    Mitaala yetu ianzishe somo la falsafa

    Lengo la makala haya, ni mwandishi kujaribu kuunga mkono baadhi ya watanzania ambao wamejaribu kupigia kelele ufundishaji wa falsafa katika mfumo wetu wa elimu. Kwa hiyo ni mapaendekezo ya kutaka serikali kupitia wizara ya elimu kuanzisha somo la falsafa katika elimu yetu kwa ustawi bora wa...
  4. philosophy

    Tufanye tafakuri yakinifu juu ya maendeleo yetu na wajibu wa serikali

    “JE INAWEZEKANA WATANZANIA KUPATA MAENDELEO KWA UTEGEMEZI WA SERIKALI PEKEE?” Tutafakari Kumekuwa, kwa kiasi kikubwa ndani ya watu (waafrika) dhana ya kwamba, ili mtu, jamii, au taifa liwe na maendeleo ni lazima serikali yake iwajibike kufanya hivyo. Hii ndio dhana iliyojaa vichwani mwa...
  5. philosophy

    Sioni mantiki ya Serikali kutetea suala la kutotenga pesa za chakula kwa shule za bweni za wananchi

    SIONI MANTIKI YA SERIKALI KUTETEA SUALA LA KUTOKUTENGA PESA ZA CHAKULA KWA SHULE ZA MABWENI YALIYOJENGWA NA WANANCHI KWA KIGEZO CHA USAJILI Baada ya serikali ya awamu ya tano kuamua kutangaza kuwa elimu ya msingi (elimu msingi) ni bure, raia wengi tumeona ni suala zuri kwa maendeleo ya...
  6. philosophy

    Naanza kuchukia baadhi ya sera za Magufuli. Hivi tunajenga au tunabomoa?

    kama bomoa bomoa iko kinyume na sheria au iko kisheria lakini atekelezaji wanatenda isivyo, basi hoja yako ina mashiko lakini kama ni kinyume kwamba wafanyacho ndicho kinachostahili kufanywa kwa kuwa kina matokeo bora kwa taifa, hatupaswi kule sympathy kwa kigezo cha wanaohusika ni masikini au...
  7. philosophy

    Mustakabali bora wa taifa ni watu wenye mwono sahihi

    MUSTAKABALI BORA WA TAIFA NI WATU WENYE MWONO SAHIHI Kwa kila kitu au jambo lililopo, huwa halipo si tu lipo, bali lipo si kutoka kusikokuwepo, lipo kwa chanzo au sababu maalumu. Ndivyo ilivyo kwa vitu vyote ulimwenguni kuanzia kiwango cha chini kabiasa katika mlolongo wa uwepo hadi ngazi ya...
  8. philosophy

    Mawazo zaidi kuhusu maadili na nidhamu

    hakika uko sahihi kuwa serikali ndio yenye kuwajibika kutoa elimu ya kujitegemea kwa raia. lakini serikali yetu haina viongozi wenye muono huo kwa sababu wanaikosa nidhamu yenye kuwaongoza kulijua hilo. na hiyo inasababishwa na kutokuwa na msingi bora wa maadili juu kipi kinastahili kufanywa km...
  9. philosophy

    Mawazo zaidi kuhusu maadili na nidhamu

    ........" What I am trying to say is the current generation of Tanzanians has the responsibility to define its own destiny which includes maadili and nidhamu as well. The work of Nyerere can inspire us; nonetheless, we can't emulate it in its entirety or the way he thought it should be...
  10. philosophy

    Mawazo zaidi kuhusu maadili na nidhamu

    nadhani kuwa kwa kutokumuelewa mtu hoja yake kwa sababu ama ya ulefu wa maelezo au kutokutaka kufungua macho kuelewa kile knachomaanishwa haimaanishi kuwa ni mjadala usiona na msingi bali kutokuwa na umsingi kuko ndani ya yule asiyewezakung'amua kile kinachomaanishwa. katika hoja yetu msingi...
  11. philosophy

    Mawazo zaidi kuhusu maadili na nidhamu

    Hoja yako ni nzuri sana na lengo lako lina mantiki sahihi na mimi ninakubaliana na hoja yako mhimiri. Ila ninakwenda kinyume kidogo na mbinu unayoipendekeza kuweza kulifikia lengo hilo. Kwa maelezo yako mengi yamejikita katika kulaumu na kusema kauli kama inpaswa, lazima….nk . Kauli kama hizi ni...
  12. philosophy

    Mawazo zaidi kuhusu maadili na nidhamu

    katika subjectivism point of view, morality depends on the views of person or certain social conducts not universally. ndio maana objectivism and subjectivism bado havijafikia mwafaka. ufisadi na wizi ni mabaya kwa wale ambao unawaathiri ila sio kwa wale wanaonufaika nao
  13. philosophy

    Mawazo zaidi kuhusu maadili na nidhamu

    usifikiri kuwa kila anayekuonesha ufa katika hoja yako ana lengo la kukupinga. soma vizuri hoja zangu utagundua kuwa najaribu kuzichambua njia zako ulizoziainisha kama kweli ni msingi imara wa kupata kile unachokitaka. huwezi kuongelea kuwa mataendo haya yakifanywa ni mazuri na haya ni mabaya...
Back
Top Bottom