Nimeupokea kwa masikitiko sana msiba huu,,,ukizingatia kuwa ni kijana tuliekua pamoja toka utoto wetu,,,,He was real kamanda,,,,Wote tutapita njia hiyo lakini kwake imekuwa mapema sana.....MUNGU AIWEKE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU .....AMEN
Mimi sioni tatizo la ubini wake kwa sababu sehemu yenye jina la Madelu N Mlindi ni parent/guardian,,,,tatizo liko wapi..??! yule anaweza kuwa ni mlezi wake aidha mjomba au ndugu mwingine...!!!
Ni msomi aliyebobea katika fani ya ufamasia akiwa na shahada ya udhamivu katika fani hiyo...Amefanya kazi na UNESCO katika nchi za Zambia na Sierra Leone na sasa ni Meneja wa miradi maalum MSD makao makuu DSM !!!!! Anakuja kurudisha imani na matumaini kwa wananchi wote wa wilaya ya...
kaka umeuliza kuhusu hili Swala ukaelezwa au umekurupuka kujibu post.hii tariff haijawekwa vzuri ila somehow inaeleza uhalisia wa Mambo,tafadhali uliza badala ya kumake conclusion.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.