Huyu ni Ramadhan Jilisha Mayenga amefariki siku 3 baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lalago kilichopo Wilayan Maswa, Simiyu.
Aidha kamanda huyo alihutubia mkutano huo ulioitishwa maalum kuwashukuru wananchi kwa kukipatia chama hicho ushindi katika baadhi ya vitongoji.
Katika hotuba yake kamanda huyo alizungumzia namna Diwan wa kata ya Lalago Alli Mbariki (CCm) asivyowajibika ikiwemo kutohudhuria vikao vya halmashauri, kutochangamkia miradi mbali mbali ya kijamii km vile maji, uzembe uliofanyika mpaka kupelekea kiwanda cha mzungu Cargil kufa na kuwakosesha ajira vijana, kutokuitisha mikutano kuongea na wananchi wake ili waweze kumpatia matatizo yao kama wananchi.
Kamanda huyo amefariki leo asubuh ya tarehe 3/2/2015.