Wapendwa nilipotangaza nafasi za kujitolea nililenga kuwasaidia vijana wenzangu ili tuweze kufanya kazi kwa ushirikiano baada ya kuona wengi wetu hawana kazi za kufanya na kwakua lengo letu ni kuwafikia vijana wengi tanzania tuliona inafaa kuwachukua vijana wapatao 30 na kuwapa mafunzo but tatizo lilikuja ni moja nalo likatufanya tusitishe zoezi letu kutokana na vijana wenzetu kushindwa kutumia fulsa hii ya kujitolea katika kufanya kazi hii ya kijamii .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.