Mingine inazungushwa. Mi ni Mroma naelewa sana hizi changamoto. Si tulipigwa msalaba wa bati laki 8. Paroko kaja kujua msalaba umepandishwa Usiku wa manane
Kwanza kabisa niseme hongera, pia pole.
Kwa utaalamu wangu wa saikolojia za mabinti wengi. Huyo atakusumbua.
Nina sababu Tatu.
1) Sio Rika lako, 19 kwa 30.
Hapa usipokuwa EXPERT kwenye ngono. Utamuharibu saikolojia. Utamtoa bikra atakuchukia kwa maumivu.
2) Marafiki
Je utakubali siku moja...
Kabla hujafanya maamuzi ya kuwa na watoto /Familia fahamu hili..
Watoto wamekuwa ni hazina na faraja ya wanawake uzeeni lakini faraja ya kudumu ya mwanaume uzeeni imekuwa ni mali zake alizotafuta ujanani.
Wanaume tutafuteni pesa zitufariji baadae,waacheni wanawake washindane na akili zao...
Vizuri. Kifupi ni kwamba, Baada ya Mussa kutupwa. Ulikuwa ni mpango wa Mungu. Baadae akaokotwa na yule Dada. Yule Dada kwa nguvu zake na utashi, na upendo.. Alifahamu kuwa yule ni mtoto wa watumwa wao, ndo maana alimtafuta mwanamke amnyonyeshe.
JIBU: Alilindwa na Binti Mfalme. Daka hii pia...
Maisha ya mtanzania ya kawaida sana, hata kwa asie Soma bajeti ya kula ikiwa 300000. Inatosha sana, ila tu madokta wengi ni maskini. Atawaza kutanua bila kujilinda
Mimi ni kijana. Nina ndoa sasa mwaka na miezi. Lazima ufahamu kuna ndoa na utandawazi. Ndoa ni makubaliano Kati ya pande mbili Bwana na Bibi. Alafu kuna cheti cha ndoa. Hii ni karatasi itokayo Serikalini ikiwa na maana ya kushughulikia mambo ya mirathi na ushahidi wa Bwana na Bibi kisheria...
GB "GANZI BOY STUDIO"
Morogoro town.. nipo na chimbo langu ofisi flani hivi ya Library.. nauza movie na vifaa vya simu.
Mtaalamu wa hizi kazi... Big up sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.