Siyo vizuri kujadili na kulumbania jambo lililoko mahakamani hivyo nitajitahidi kuweka akiba ya mambo kadha wa kadha ili kulinda na kuheshimu uhuru wa mahakama.
Viongozi wa CHADEMA wanapaswa kuheshimu mahakama kama ambavyo mahakama imekua ikiwaheshimu wao sikuzote. Wanapaswa kuelewa kuwa...
Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea...
Najua ukweli ni mchungu lakini nidawa hivyo lazima tuunywe ilitupone, na yeyote anayeshiriki kumnyima au kutompa dawa mgonjwa kwa wakati ni muuwaji na msababishaji wa madhara yeyote yanayoweza kumkuta mgonjwa.
CCM tufanye siasa tuache migogoro na marumbano baina yetu. Tuache siasa za kuviziana...
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"
Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.
Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala...
KWA UTEUZI HUU UNAOENDELEA KUFANYWA NA RAIS WA JMT MAMA SAMIA, TANZANIA ITAKAA SAWA.
Kwanza nimpongeze Mh Rais kwa uteuzi alioufanya ilikuendelea kusuka kikosi kazi chake chenye lengo la kuleta tijazaidi katika maendeleo yetu.
Niwapongeze wote walioteuliwa na wanaoendelea kuteuliwa kwasababu...
RAIS WA JMT MAMA SAMIA KUMSTAAFISHA UENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE IFIKAPO MWAKA 2023.
Na; Philipo Mwakibinga
Muda kidogo nilijiuliza sana bila kupata majibu juu ya azma na uamuzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe (Mwamba) kutangaza kuwa ifikapo Mwaka 2023 atang'atuka uenyekiti wa...
VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA.
Na: Philipo Mwakibinga.
Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT na Vijana wa Tanzania kupitia Vijana wa Wakanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
KUNA MABANGO YA AINA TATU, PAMOJA NA YALE YA KAKA CHALAMILA.
Na: Philipo Mwakibinga.
Kuna aina tatu za mabango ikiwa ni pamoja na yale ya ndugu yangu kaka Chalamila, yanayoandikwa wakati wa mapokezi ya kiongozi anapofika pahala fulani kama ifuatavyo;
Mosi, ni mabango yanayoandikwa kwa lengo la...
Na Philipo Mwakibinga
Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa.
Badala ya kujifanya hatujamuelewa sasa tumsaidie ili Tanzania ya Wote iwezekutamalaki. Niwakati muafaka wa kilammoja wetu kujivunia hili...
SHAKA: Zitto Acha Ulalamishi na Siasa za Kitoto
Na Mwandishi wetu, Kigoma.
Chama Cha Mapinduzi kimesema Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kutapatapa na kutafuta mchawi baada ya kuona Jahazi la Chama chake likienda mrama kufuatia matokeo ya awali katika majimbo ya Muhambwe na...
Napenda kumuambia rasmi kaka yangu Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe (Zizou Ziyaye Zinedine Yaziy Zidane) kuwa CCM hatunaga Shuguli ndogo. Kila uchaguzi kwetu ni muhimu na wathamani sana. Sisi siyo CHADEMA ambao wanakimbia uchaguzi mdogo wanashiriki uchaguzi Mkuu. Wakati Uchaguzi mdogo ndiyo unatafuta...
Kosa kubwa la Sabaya pale Hai ni kurejesha ardhi ya Waislam waliyoporwa na matajiri wa Hai na kuirudisha kwa BAKWATA.
Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kurejesha Mashamba ya Ushirika iliyoporwa na matajiri wa Hai na kuwapa Wananchi wanyonge walime na kujipatia mlo wao badala ya kukodishwa na...
Elimu Yetu: Tusiinyoshee kidole Serikali Peke Yake
Maoni ya Dkt @RichardShukia, Mhadhiri, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Kumekuwa na malalamiko kuwa mfumo wetu wa elimu hauwajengei vijana wetu maarifa na stadi za maisha. Kama jamii hatuwezi epuka lawama kwa sababu zifuatazo...
MNYIKA ALIPELEKA MAJINA 19 YA WABUNGE WANAWAKE CHADEMA.
Na: Philipo Mwakibinga.
0758910403
Uongo ukizungumzwa mara nyingi lazima unaweza kufanana na ukweli lakini kamwe hauwezi kubadilika kuwa ukweli maana bado utakua ni uongo tu.
JOHN Mnyika anajitahidi sana kuhakikisha ndugu yake Halima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.