Ndugu zangu naombeni mwenye kufahamu zinapopatikana mashine za kufyatulia tofali za udongo ambazo huchomwa.
Nimeambatisha picha, ni vyema zaidi nikafahamu na bei ya mashine yenyewe.
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la watanzania, huyo shoga nae mtanzania na mnao hukooo makwenu eti leo kaonyeshwa kwenye tv mnang'aka kwan hamuwajui? Mbona mnaishinao na nyie wenyewe ndo mnawatumia. Akili kumkichwa. Hili neno sio geni na hawa watu wapo na wanaowatumia wapo tanzania hii na miongoni mwao ni walalamikaji...
Baasi warwanda mtutengenezee af sie ambao inaonekana hatuna weledi tuhack zikishavuja ndo mtajua mwenye uwezo wa kuhack na mwenye uwezo wa kutengeneza nani fundi zaidi ya mwingine
Hahahaaa mahakaman ndo kutakua na vioja hiv alivosema dicteta uchwara kataja jina? Au JPM ndo kiongozi pekee hapa nchini? Akipindisha akasema makonda hahaha na akisema alimaanisha mkewe mtajibu nn, swala ni kwamba hajataja jina wala cheo cha huyo dictator xaxa mkiguess mnakosea hahahaaaa patam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.