Recent content by Phenol 41

  1. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Nilivyo ibiwa kimaajabu

    Hongera ulinusurika mkuu
  2. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Nilivyo ibiwa kimaajabu

    Sielewi kabisa nilipatwa na nini kwakweli
  3. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Nilivyo ibiwa kimaajabu

    Natumaini mko salama! Wenye changamoto poleni. Leo napenda kushare na ninyi mkasa wa kuibiwa kimaajabu ulio nipata siku kadha zilizopita. Baada ya kuhitimu chuo kimoja wapo jijini Dar es Salaam niliamua kubaki sikurudi nyumbani kwakua hakukua na inshu ya Kwenda kufanya, niliamua kukomaa...
  4. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Naomba cha physics form five
  5. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Stop blaming others for your misfortunes

    we should also learn to let things go, whether a person or a situation!! Holding them while they are toxic, they may end up destroying your future!!!!!!!!!!!!!! Let them go
  6. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    4 millions per year kwa miaka miwili. Lakini ukijumuisha na gharama zote pamoja na research inaweza fikia 18millions
  7. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Nenda kasome MS in medical parasitology and entomology muhimbili
  8. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

    Na watuambie bahasha walopewa ilikua na kiasi gani leo?? 😆😆😆😆😆
  9. Phenol 41

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Duhh!!! Hatari sana hii. Vp mkuu wewe unaweza kuoa mwanamke anayetoa tigo?
  10. Phenol 41

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Maybe kijijini kwao hawaruhusiwi kutumia simu!!! So vumilia. Hope akimaliza kuwasalimia ndugu zake atakuchek😐
  11. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Exactly
  12. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Punguza makasiriko mkuu!! Najua majaliwa hakufanya kazi pekeake ilikua ni teamwork!! Kilicho mwinua majaliwa ni bahati tu!! Hata wewe wakati wako wa bahati ukifika wenye makasiriko kama yako hawatoacha kuandika nyuzi kama zako
  13. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania I was born not only to fight against corruption but also to liberate Africa

    Utapitia chama gani mkuu ili niwe kada wako mapema??
  14. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Updates za Geita Gold FC kimataifa

    Hii kitu inanikera kinoma an!! Hizi mambo za goli la ugenini zmepitwa na wakati
Back
Top Bottom