Recent content by phd1919

  1. phd1919

    JamiiForums Tanzania Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Dah bro bora ungeenda majiji kama mbeya na mwanza ila dar pesa utapata ila vitu viko juu gharama 🤣🤣
  2. phd1919

    JamiiForums Tanzania Ila nyumba za Chanika😅😅😅..Nyumba inapigwa make up inawaka kinoma😅😅

    Nyumba kama Izo zimejaa sana pia mbagala chamazi na pembezo mwa viunga yake….na zinaumiza kwel macho na kutia kizunguzungu hapo bado hawajaweka mataa ya kuwaka waka
  3. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Hahahahaha sasa ndo nipe suggestion condom ipi…maana binafsi bila ya condom siwez na kupigilia mishindo ndo wanapenda wanawake ninao kutana nao
  4. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Bila ya kuharibu biashara za watu…Iyo brand ya kiss ndo imenitokea mara tatu ndo nimepata msukumo wa kuja kuandika hili chapisho
  5. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Vp kuhusu kujikinga na magonjwa mengine ya zinaa?
  6. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Yes waje na strategies za kutengeneza condom zinazovumilia watu wa masafa marefu 🤭🤭
  7. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Nimekupata mkuu ntachunguza tena kwenye uvaaji wangu
  8. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Mean haihitaji fujo nying…then quality haijafikia viwango 😂😂
  9. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Hahahaha sasa mzee ndo upo kwenye harakati za kutaka kupiga mzigo imekaaje iyo
  10. phd1919

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Habari za muda huu wadau, najua kila mmoja wetu anaelewa kuwa kabla ya bidhaa yeyote ile kabla ya kuingia sokoni na kumfikia mtumiaji wa mwisho lazima ipitie. Kwenye majaribio mbalimbali kujidhihirisha ubora wake watu wa quality conteol watakuwa wanaelewa haya mambo... Swal langu je ni njia...
  11. phd1919

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Hii thread itaishi kiaka mingi kkuu...yaan Hadi 2022 Bado Iko na positively nying sana
  12. phd1919

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma, atakayeshindwa kuwasilisha cheti kwa ajili ya uhakiki atakuwa amejiondoa kazini

    Hao wenyewe sana vyeti feki....waanze wao kwanza kujifukuzisha kazi
  13. phd1919

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    Kama itakua ivyo kweli basi hii serikali yetu na tanesco watakua wamekosea na inaweza pia ikawa chachu kwa sana Zanzibar kutaka muungano kuvunjika......ila kwa Sasa serikali ya Zanzibar ifanye mipango ya kua na vyanzo vyake vya kuzalishaji umeme bila ya kutegemea huku bara
  14. phd1919

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nenda kaulize jeshi mkuu....watakupa maelekezo mazuri tu...kama jkt nenda makao makuu ya jkt
  15. phd1919

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Kama ingekua ivyo mkuu, mwaka Jana mwezi Wa kumi na moja jeshi lisingechukua watu kufanya mafunzo
Back
Top Bottom