Recent content by PhD PM

  1. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Ndugai ni Nyani tena zee na Covid'19 wake.
  2. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Hiyo Dini imetosha. Tubalance Ebho! Assad atake asitake ni CAG Mpya "in CCM's VOICE"
  3. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

    Tiyar 40 dead. Bado covid. Endekezeni ujinga. Kisa Sifa
  4. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    TISS wana kazi nyingi. TISS wanaweza side na upinzani kupinga baadhi ya mienendo ya serikali ijisahhishe. Kwahiyo inaweza kuwa strategy. Mf. hizo taarifa za kuchota Billion 86 BoT. Wanavujisha ili watu wawajibishwe!
  5. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Nilimuombea hayati Magufuli nina uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba

    Tupunguze kutoa Sadaka. Yaani watu wana ropokaropoka tu
  6. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

    Kwahiyo sisi ni Waarabu?
  7. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ile picha ya mapacha watatu imepatikana

    Hao ni wezi. Tembo wataisha tena
  8. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

    You better fold your mouth!
  9. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Kwa nondo huyo Padri ni nomaaa
  10. PhD PM

    JamiiForums Tanzania "Nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini" Maneno ya kweli kabisa ya hayati mpendwa Rais Magufuli

    Uongo mtupu. Ametujengea chuki, ka gawa Taifa kwa itikadi za vyama, ka ua demokrasia na kujenga miungu watu.
  11. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

    Pia Rais ali hutubia Baraza jana ukutani ku kiwa na Picha ya JPM. Ni kosa Kubwa!!
  12. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

    Humjui ktk Utawala! Sema ww ni bendera fuata upepo.. Kifupi hata matendo yake na matamko yake kwenye TV alipo kuwa KATIBU CCM hatufai. Yy ,na polepole ndio wameharibu Taifa la Nyerere lenye Umoja. Wamejenga Chuki, wame ua demokrasia na kugaww Taifa. Rais anakufa watu wanashingilia kisa upuuzi wa...
  13. PhD PM

    JamiiForums Tanzania Rayvanny ni captain Komba wa kizazi hiki

    Hizi label mpya na Promo
Back
Top Bottom