Recent content by Phb_himself

  1. Phb_himself

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mathew Malumbi, Gosu gosu na Ruby 🙌🏾
  2. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Sio kweli Tupac kafariki akiwa na miaka 25 Kazaliwa June 16, 1971 Kafariki September 13, 1996
  3. Phb_himself

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Uzi ufungwe sasa huko palipo baki wakufuate PM mimi rasmi naishi hapa, huwezi amini nimefurahi sana ulivyo ila hiyo manzi, Pia hongera kwa utunzi na uandishi mzuri japo kulikuwa na makosa madogo madogo ya kibinadamu ila HONGERA SANA. KWAHERINI.
  4. Phb_himself

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Anamaanisha mazingira uliyokuwepo sio mbele yake.
  5. Phb_himself

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Weekend ndio makubaliano, ila katikati ya wiki ni akiamua yeye.
  6. Phb_himself

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mnaosema Iryn ni jini mnaa maana gani ikiwa historia yake tunaijua kwa uchache, kama mama yake alikuwa mkuu wa Organization "X", Baba yake yake yupo South, pia mama Janet anamsimamia kwenye baadhi ya mambo. EBU FIKIRIENI HILO
  7. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Milango ya mafanikio

    Sijajua nini Sam anawaza ila nipo upande wake tu[emoji23][emoji23]
  8. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Lisa

    700
  9. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nani angekuwa bado anacheza Man U leo wangeshinda
  10. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania I want to die a judge

    Kaka Pole sana nasikia ulizimia zaidi ya mara tatu[emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania I want to die a judge

    Na lazima afungwe[emoji23][emoji23]
  12. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania I want to die a judge

    Baada ya game [emoji23][emoji23]
  13. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina anapojaribu kucheza kama Diego Maradona

    Jamaa kaua sana
  14. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina a.k.a Maradona

    Ndio maana nikakwambia weka mstari ambao huuelewi nikujuze.
  15. Phb_himself

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina a.k.a Maradona

    Weka mstari unaokutatiza mimi nitakupa tafsiri
Back
Top Bottom