FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,230
- 4,346
- Thread starter
- #141
Nani kakwambia imeisha mkuu?Story imeisha kiboya sana.
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Nani kakwambia imeisha mkuu?Story imeisha kiboya sana.
Nlidhani imeisha sorry mkuu
Mwisho ni 100 mkuu tuendelee kuenjoyNlidhani imeisha sorry mkuu


Baada ya game


Na lazima afungwe


Mkuu Arsenal naenda kumpapasa vizuri sana, matozi wa London wale hawanisumbuiNa lazima afungwe![]()
Barida barafu
Kaka Pole sana nasikia ulizimia zaidi ya mara tatuMkuu Arsenal naenda kumpapasa vizuri sana, matozi wa London wale hawanisumbui
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app



Mkuu we acha tu game imeniboa sana jana, kufungwa na arsenal imeniuma mnoKaka Pole sana nasikia ulizimia zaidi ya mara tatu![]()

@InvisibleModerator naomba nibadilishie hiyo heading inatakiwa kusomeka "I want to die judge" sio i want to die a judge
Boss hii stori umetunga wewe?Kuwa mvumilivu mkuu utaelewa kila kitu na hilo tukio kumbuka Alexander anakumbuka akiwa mbele ya kioo akiwa na alama ya bisu usoni ndo anakumbuka kilicho mkuta, umakini unahitajika mkuu utaachwa
Ndiyo mkuu, kila kitu ni mimi mwenyeweBoss hii stori umetunga wewe?