Recent content by Phazo Khan

  1. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

    2006 hukuwa umezaliwa mkuu au ulikuwa kijiji sana?
  2. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ukiipata inshaallah ukipatie na mie
  3. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vyoo vya kisasa ambavyo havijai

    Ahsante sana....huo ni mfumo imara kabisa ambavo hufyonza uchafu nakuugeza maji, na hakuna probability yoyote ya kuweza kuasathiliwa na maji kutoka nje kama mvua na nk...
  4. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vyoo vya kisasa ambavyo havijai

    OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital gest nk, Sifa za mfumo huu ni 1 halijai 2 halitoi harufu 3 huchukua eneo dogo Halijai kabisa wakati...
  5. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vyoo vya kisasa, ambavyo ni nyenzo ya kuhifadhi mazingira na havijai

    OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital gest nk, Sifa za mfumo huu ni 1 halijai 2 halitoi harufu 3 huchukua eneo dogo Halijai kabisa wakati...
  6. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Freeman Mbowe na wenzake watatu wamekana mashtaka yao sita yanayowakabili

    Kumbe hujui unachoongea, me nalala ndio ila we nenda kasome ujue mambo!
  7. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Freeman Mbowe na wenzake watatu wamekana mashtaka yao sita yanayowakabili

    Alihukumiwa lini kwa kesi ya ugaidi??
  8. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    Hata katika family level, mtoto atawachukulia wazazi wake the way watakavyo mtreat. Usitarajia heshima na upendo kwa mtoto ambae humtreat katika mazingra hayo Kabla hatuja wasema Chadema em tuangalie sababu za wao kuwa hivyo ni zipi?
  9. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Hili swala limeanza mwaka huu lakn au ndo yale mambo yalopita na tozo?
  10. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Hiyo miaka ya mwanzo hawakuliona hilo? Na je hiyo mitihani ya form 4 na 6 wataenda kusimamia walimu wa msingi?
  11. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Huku ndo kunakoitwa kukosa ajenda, Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
  12. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Guys mwenye kufahamu vyuo vinavyotoa short course IT....
  13. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Umenena vyema sana. Inaweza kuwa sio wala kesho, ila naamin atakuja kupatkana kiongozi ambae hatakuwa mbinafsi na atatuletea katiba mpya.
Back
Top Bottom