Recent content by Pharmacy

  1. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania NANI TUWEKEANE MAKUBALIANO YA KI-BIASHARA?

    Shukrani saana mkuu....nilitaka kuwa supplier lkn kwa maelezo yako nimepambanukiwa zaidi.....
  2. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Alihukumiwa Miaka 30 jela kwa ubakaji miezi mitano iliyopita, leo tupo naye mtaani, hili limekaaje?

    Yes kabisa maana mtu anaona Ni upuuzi mtupu,,,
  3. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Mi pia
  4. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Elewa kitu mkuu,ndoa za jinsia moja haikuwa msimamo wa Ukristo kwa ujumla Ni baadhi ya vikundi vya Ukristo km ujuavyo,maana mashahidi wa Yehova,Wasabo,Walokole baadhi hawakubali huo ushoga,,,so kuwajumlisha Ni sawa na waislam wajumlishwe na yule mshenz wa soutn Africa.... Kwa nn Hawaoi wak...
  5. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe ya kisasa

    Juzi tu nimeng'oa Miche ya nyanya nusu heka😄 nimenunua 🐓 hata week hajafikisha ameanza kutaga
  6. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ilikuwepo app ya hizi vitu bado ipogo?
  7. Pharmacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Kwamba nawaonea wivu kuingi huko sayar za mbali?😄😄😄😄
  8. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Siri: Njia rahisi ya kupata mganga wa kweli

    Hata hivyo hayajawakuta waache wajifany hamnazo, Ni juzi tu ndugu mmoja katoa ushuhuda kukuta mchungaji na mke wake wako wanaroga kanisani.....
  9. Pharmacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Ashtuke nini Kwan baada ya mwezi penyew ndio kusema atakupa masikio siyo mbunye?
  10. Pharmacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Ashtuke nini Kwan baada ya mwezi penyew ndio kusema atakupa masikio siyo mbunye?😄😄😄😄
  11. Pharmacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Walipe Kodi na wao shenzi😄😄😄😄
  12. Pharmacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Kuna jamaa alisema kuwa wanawake % kubwa km si wote Ni wauza uchi kwa mifumo tofauti tofauti.....
  13. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania NANI TUWEKEANE MAKUBALIANO YA KI-BIASHARA?

    Nashukuru pia naheshimu mawazo Iko hivi mm kikubwa soko la uhakika,,,, twaweza kubaliana kuwa tutauziana kulingana na Bei iliyopo sokoni ukizingatia sihitaji advance yoyote kwake,,,,kikubwa nikiivisha siyo nianz kuwalisha kuku soya wakat hayakuwa malengo
  14. Pharmacy

    JamiiForums Tanzania NANI TUWEKEANE MAKUBALIANO YA KI-BIASHARA?

    Mkuu shukrani 🙏, ngoja hapo Napo nifanye research nitakurudia km utakuwa na la kushauri maana hapa nimejaribu kupitia serikali nikagundua changamoto ya leseni,vibali nk utaishia kuangushwa tu jumlisha mchako wa kuzalisha hiyo kitu Kisha utelekezwe Ni zaidi ya maumivu!!!
Back
Top Bottom