Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,888
- 1,957
Ninyi ndio wale uzeeni mnakimbila vibinti vidogo hatimae mnashtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia ,kosa ni kuwa ujana wako ulijitia uko busy sanaaaBora hata imenishauri kitu cha maana