Recent content by pharhnaa

  1. pharhnaa

    Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Nikweli kwa morogoro tokea alfajiri mpaka saa moja mvua imenyesha. Niko morogoro mjini maeneo ya masika (shamba street)
  2. pharhnaa

    Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Mungu akurehemu na akuongoze
  3. pharhnaa

    Wapi naweza kupata Business accountancy 2

    Frankwood and sangster . Ana 11 na 12 edition kwasasa. Nenda bookshop yoyote dar hukosi
  4. pharhnaa

    Mnaotarajia kuhitimu huko vyuoni kuanzia mwezi May karibuni tusote pamoja

    Changamoto. Lakini ifanyike subra kidogo kabla ya july kila kitukitafahamika. Muda ndio msema kweli
  5. pharhnaa

    Uliyemuuzia dada yangu hii TV, Mungu anakuona

    Aisee, mpe pole sana! Hizo ni changamoto tu za maisha)G
  6. pharhnaa

    Msaada wana jf startimes huduma kwa wateja

    Salio la akaunti 02035677895 ni TSH:10,036.59,Kifurushi chako ni (Nyota Bouquet),Akaunti yako imesitishwa. (nimepiga *150*63# nimetumiwa ujumbe huo, aisee dah!)
  7. pharhnaa

    Msaada wana jf startimes huduma kwa wateja

    Salio la akaunti 02035677895 ni TSH:10,036.59,Kifurushi chako ni (Nyota Bouquet),Akaunti yako imesitishwa. (ndicho nichoambiwa baada ya kupiga *150*63#)
  8. pharhnaa

    Msaada wana jf startimes huduma kwa wateja

    Nimelipa 10,000/= lakini bado, hawa jamaa vipi? Ngoja nitumie ushauri wenu wadau, nitatoa mrejesho! Niko morogoro town.
  9. pharhnaa

    Msaada wana jf startimes huduma kwa wateja

    Au kwa mwenye ujuzi / uzoefu wa hili anisaidie au kunishauri nifanyaje kabla sijaanza kufanya purchasing
  10. pharhnaa

    Msaada wana jf startimes huduma kwa wateja

    Wadau naombeni mawasiliano, namba za simu za startimes huduma kwa wateja. Channel zipati hata za bure kwa wiki sasa. Naambiwa no access- not subscribed
  11. pharhnaa

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Mungu akusamehe na akurehemu Dena!
  12. pharhnaa

    VIDEO: Rais Magufuli akizungumza Kiingereza safi

    Wabongo wanafiki sana
  13. pharhnaa

    Miezi 9 iliyopita tuliambiwa Dr Dau aliacha Mfupa NSSF, sasa hivi ina Trilioni 7!!

    Tz, hatupendani! Hatuna utaifa wa kweli
Back
Top Bottom