Msaada wana jf startimes huduma kwa wateja

pharhnaa

Member
Jul 18, 2016
50
49
Wadau naombeni mawasiliano, namba za simu za startimes huduma kwa wateja. Channel zipati hata za bure kwa wiki sasa. Naambiwa no access- not subscribed
 
Au kwa mwenye ujuzi / uzoefu wa hili anisaidie au kunishauri nifanyaje kabla sijaanza kufanya purchasing
 
Mkuu uko mkoa upi?

Ndicho kinachoendelea hata kwangu.
Nipo moshi.

Mwenye detail atupatie, sina hata muda wa kwenda ofsi zao.
Natoka alfajiri narudi home saa tatu.
 
Mm natafuta namna ya kujiondoa kwenye kifurushi cha 10000 nirudi hata cha 3000 maisha magumu! Msaada wadau nifanyaje?
 
siku hizi hata local unalipia. xo kama zimekatwa ww lipia tu mana hakuna namna
 
Mm natafuta namna ya kujiondoa kwenye kifurushi cha 10000 nirudi hata cha 3000 maisha magumu! Msaada wadau nifanyaje?
Piga *150*63# halafu fuata maelekezo. Kwa line ya voda,tigo na airtel. Lakini voda lazima uwe na hard cash kwenye simu sio kifurushi. Hao wengine huduma bure.
 
Nimelipa 10,000/= lakini bado, hawa jamaa vipi? Ngoja nitumie ushauri wenu wadau, nitatoa mrejesho! Niko morogoro town.
 
Salio la akaunti 02035677895 ni TSH:10,036.59,Kifurushi chako ni (Nyota Bouquet),Akaunti yako imesitishwa.
(ndicho nichoambiwa baada ya kupiga *150*63#)
 
Salio la akaunti 02035677895 ni TSH:10,036.59,Kifurushi chako ni (Nyota Bouquet),Akaunti yako imesitishwa.
(nimepiga *150*63# nimetumiwa ujumbe huo, aisee dah!)
 
Please nisaidieni namba ya kupiga bite Customer Care Startimes. Nimepiga 0764700800 air time yake imeisha bila kupata Msaada zaidi ya kuambiwa subiri wahudumu wanaongea na wateja wengine. Hakuna aliyejibu simu yangu Hadi 2000 yangu ikaisha. Hiyo *150*63# hawana Msaada wakaniambia sina balance ya kutosha. Nimelipia kifurushi hawataki kunipa Channel za Mambo, na Uhuru.
 
Back
Top Bottom