Picha za kujifanya wamekufa za vijana wa Afrika Kusini zatamalaki mitandaoni

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
15,419
upload_2017-1-9_13-2-39.png

upload_2017-1-9_13-2-51.png

upload_2017-1-9_13-3-9.png

upload_2017-1-9_13-3-17.png

upload_2017-1-9_13-3-30.png

upload_2017-1-9_13-3-37.png

upload_2017-1-9_13-3-50.png
 
Haitakaa itokee eti mtu amefa alafu kabembea kwenye grill wakati inaonyesha kajizuia na mguu!! Na huyo alojiwekea shoka shingoni kwanza ametanguliza hapo nyama ( sijui ya kitimoto) alafu eti anaweka shoka aonekane amekatwa!!huyo wa mkokoteni ingekuwa kafa huo mguu ninavyojua mtu akifa hua analegea sana na watati anakata roho mziki wake mguu isingebaki juu hivyo!!labda walikufa alafu wakabebwa wakaenda kutegeshewa hivyo!!ila siamini kama wamefia hapo hapo kama walivyo!!
 
wa stendi kwani wewe ulishawahi kufa?
ila ndio maana zikaitwa deadpose. hakuna cha maana hapo. kwa ivo wakikosea pose inakuwa tu kama zile kufa kwenye bongo movies zetu ile ya mtu anaweka sumu kwenye msosi halafu anaionja kama imekolea kabla ya kumpa mlengwa
 
Back
Top Bottom