Mnaotarajia kuhitimu huko vyuoni kuanzia mwezi May karibuni tusote pamoja

Ikifika mwezi may wahitimu wengi wanatoka vyuoni na kuingia mtaani kufanya idadi ya intake kuwa 3 bila ajira.! Karibuni tusote wote na tatizo la ajira wengine tushaisoma number then tunangoja masahisho tu.!

Sio wote watasota,wengine wameandaliwa mazingira mazuri na wazazi wao ya kujiajiri au ajira private sector huko,wengine walistukia mchezo wakajiajiri mapema so wakitoka wanakuja kupata full control ya biashara zao etc etc
 
pole mkuu badala ya kusubiria wengne waje kwenye msoto jaribu kutafuta cha kufanya ni ukweli kuwa ajira hakuna tanzania wao wakisota wewe haikuongezei kitu, nasikitika kuona wadogo zetu mmesoma kwa bidii ila hakuna mazingira ya kutumia elimu zenu.
 
Kweli ndg yangu
 
Sio wote watasota,wengine wameandaliwa mazingira mazuri na wazazi wao ya kujiajiri au ajira private sector huko,wengine walistukia mchezo wakajiajiri mapema so wakitoka wanakuja kupata full control ya biashara zao etc etc
Tatizo hawataki kutoa tamko kama hakuna ajira watu wajue chakufanya
 
Bado walimu wanaitajika sana wa sayansi na arts sema tu mda bado,
b274e507b060685c1006a0a19408947c.jpg
 
Elimu yetu aisee inabidi ifanyiwe upasuaji wa hali ya juu manaake hili bomu linalokuja Mtaani ni hatari!

Elimu yetu hii haituandai na kupambana na changamoto nyingi za Mtaani;

Bila shaka waweza jipoza na Kujifariji, Sikia wimbo wa Nash mc-"MAISHA BAADA YA CHUO"
 
Sikwenda kusoma ili nije kuajiriwa..sikuwa na mawazo hayo toka mwaka wa kwanza naingia chuo! Tatizo vijana wengi wanabweteka na kile kile kidogo wanachokipata chuoni na kujiona wamemaliza kila kitu...Tanzania tuna fursa za kutosha tatizo hatuziangalii hizo fursa kwa jicho la tatu ili tuweze ku-master mazingira yetu! Mathalani mimi kwa mfano najishughulisha na kilimo cha mbogamboga hapa kanda ya ziwa ambapo kwa mwezi mmoja nakusanya si chini ya milioni mbili na laki saba kiasi ambacho hata mfanyakazi wa kawaida serikalini hanipati kwa kipato! You have to put in mind that, the Government can not aford kuajiri watu wote..wengine njooni kwenye kilimo tufanye kazi jamani! Fungukaaaaa
 
Huu mwezi ukipita kimya bila ajira kutolewa, kila mhusika ajiongeze kwa namna yoyote ile. Maana kama ni kuisoma namba imeeleweka kwa kila mhusika.
 
Back
Top Bottom