Recent content by Pharaoh

  1. Pharaoh

    Nalaani Mbunge Condester Michael kutolewa ndani ya Bunge kisa Mavazi, ameonewa na kudhalilishwa kwa makusudi

    Babu mihemko atakuwa, yaleee ya Makonda kutuhumu watu ushoga badala ya kufanya kazi za Jiji
  2. Pharaoh

    Tanzania tumeikosea nini Marekani?

    Tatizo sia Tanzania, tatizo ni siasa za Trump, tuwe na amani, atamaliza tu utawala wake. Kisa tuna mahusiano mazuri na China. Siasa za Trump zimeganda kihistoria ya enzi za vita baridi, hajazinduka bado.
  3. Pharaoh

    Ufisadi mwingine wa Watanganyika dhidi ya Zanzibar huu hapa!!

    Watalii wanaoingia hasa ndege za usiku na asubuhi mapema, ni asilimia chini ya 5% tu ya Watalii wanaopewa Visa ya kweli. 95% wanagongewa mhuri flani na akiomba Visa kamwe hapewi na hubabaishwa na pia huenda akapewa adhabu ya kusumbuliwa kwa visingizio mbali mbali kama kumpiga upekuzi na kuwekwa...
  4. Pharaoh

    Meli kubwa inashusha vitu vya siri mbele ya Paje Zanzibar

    Iangaliwe Meli kubwa ya Kimataifa ya Makontena inayopita polepole mbele ya Paje Zanzibar ya mashariki, inashusha vitu haramu sana na kupokelewa na maboti ya mwendokasi yanayojifanya ya Diving activities au fishing. Pia Majahazi, Bandari Bubu na Bandari ya Mkokotoni na njia za Wavuvi
  5. Pharaoh

    Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

    Pia iangaliwe Meli kubwa ya Kimataifa ya Makontena inayopita polepole mbele ya Paje Zanzibar ya mashariki, inashusha vitu haramu sana na kupokelewa na maboti ya mwendokasi yanayojifanya ya Diving activities au fishing.
  6. Pharaoh

    Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

    Kutoka Zanzibar Majahazi ya kujifanya Wavuvi, Bandari Bubu na Bandari ya Mkokotoni. Ndio wanaojaza mizigo mpaka isiyoruhusiwa na pia kodi hailipwi. Wanunuzi wakuu Bara ni wapemba kwa chuki za Bara wanaunga mkono makusudi.
  7. Pharaoh

    Huyu ndiye ng'ombe mkubwa zaidi duniani

    Dudu acha tabia hio ya ukabila na kukurupuka. Waafrika wafugaji kuanzia Ethiopia , Tanzania au iwe Algiers , sio kwamba hawataki ufugaji wa kisasa, ila je miundombinu inaruhusu? je maji na chakula cha wanyama wa kisasa wasioweza kutembea hata hatua 100 unacho uwalishe? vijijini ndugu zako...
  8. Pharaoh

    Azam TV yakanusha kukwepa kodi ya ongezeko la thamani(VAT)

    Huyo Azam si Mzaliwa wa Tanzania? Mbona sasa kampuni ameisajili Mauritius? Kama sio ukwepaji wa kodi ni nini? Hebu acheni utani
  9. Pharaoh

    Muunganiko wa Lowassa na Kenyata, huku Magufuli na Odinga wanitia shaka

    Ikulu ya Kenya ni makabila ya Kikuyu, Maasai na Kalenjin. Hata wasiposhinda kwa kura watajitangaza au watatangazwa na tume. Clean answer.
  10. Pharaoh

    Napenda kumtahadharisha mh. Rais kikwete

    Yes! JK atahama nchi
  11. Pharaoh

    KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY

    Aliuza Kinana alipokuwa MP Wa Arusha
  12. Pharaoh

    UKAWA njia panda Mgombea Mwenza wa Lowassa, Jussa awakatalia, mkakati sasa ni kumnasa Othman Masoud

    Ni Othman Masoud, yule mwanasheria wa CUF aliefukuzwa Dodoma Bunge la katiba. Mtoa post hujui chochote
  13. Pharaoh

    Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

    Kikwete alikuwa na Majina mfukoni ya wagombea wa kupitishwa by Prof Mark Mwandosya. Nae adhibitisha lilikuwa ni Goli haramu la Mkono. Hichi ndicho alichokisema Lowassa kuwa ni unafiki kubaki ccm baada ya kushuhudia ikibaka demokrasia yaani haki za Watanzania pale Dodoma. Mafuriko yaendelee...
  14. Pharaoh

    CCM kazi wanayo mwaka huu..

    Orodha za Ufisadi CCM kwa Ufupi tu. TTTCL kuuzwa kwa bei ya kutupa ni Mwandosya Fisadi. Kuingia mitini na Pesa za Tanzania alizotoa Gadaffi ni Membe Fisadi. Bilioni 250 zilizolipwa Wakandarasi hewa wa ujenzi wa Barabara ni Magufuli Fisadi. Mabilioni ya STIMULUS PACKAGE ya Pamba ni Kikwete...
Back
Top Bottom