Napenda kumtahadharisha mh. Rais kikwete

Aliongea kama baba liz kwani simesha aga tayari siyo amilijeshi mkuu
 
Haya maneno kama kuna busara huko kwenye chama cha kijani inabidi wayatafakari kwa kina!
 
Pia ni ushamba na udhaif Wa hali ya juu sana, Mh. Rais kikwete kumpigia kampeni mgombea Wa kutoka chama chake, na maneno ya kejeli kiasi hicho, ni aibu sana,, nimebahatika kuliona hili kwa nchi ya Tanzania tu, nchi zingine sijaona,, Rais hatakiwi kupendelea upande wowote ule,,, huu ni ushamba tu, hii nchi ni ya watanzania wote, hakuna mwenye hati miliki..

bro kapimwe... pale alikuwa mwenyekit wa CCM yaan mijitu ya UKAWA kwa kufuata MKUMBO haijambo...
 
Nilikuja kugundua Kikwete ni takataka tu, wala hafai kumchukulia siriaz!
 
NAPENDA KUMTAHADHARISHA MH RAIS KIKWETE
KUHUSU KAULI YAKE!!
Jana akimpokea mgombea kiti cha Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndg Pombe
Magufuli, wakati akienda kuchukua fomu kutoka
tume ya taifa ya uchaguzi mh Kikwete alijitapa
kuwa wapinzani ktk uchaguzi wa mwaka huu ni
sawa na timu ya mpira na watakua wakisimama tu
huku magoli yakiingia(wakifungwa).
Haikutosha alisema kwamba MWENYE MWALI NI
YEYE na kwamba atahakikisha anamlinda. Au kwa
maneno mengine ataamua yeye kuwa nani ampe
MWALI(Kiti cha Urais)
Kwangu mm naona km Mh Kikwete kwanza
ameonyesha mshutuko mkubwa sana kwa kuwa
hakuwahi kutegemea anayoyaona na kuyasikia
sasa. Hivyo basi anachojaribu kukifanya ni
kuwatisha UKAWA(mgombea wao) kwa kutumia
madaraka yake aliyonayo.
Naomba nimwambie mh Kikwete kwamba jambo la
MUNGU halijawahi kushindwa mahala popote na
kwamba anapotumia madaraka yake kuwatisha
wagombea wa vyama vingine hiyo sio demokrasia
ila pia asisahau kwamba cheo ni dhamana siku
moja anaweza kujikuta yeye ndie akaona cha
"Mtema kuni" badala ya hao anaowaambia.
Ajiulize GHDDAFI NA wanawe wako wapi leo
pamoja na kuwaita WALIBYA "Panya"?
Mtoto mkubwa wa aliekua Rais wa Libya
(marehemu sasa) yupo Gerezani na wiki iliyopita
alihukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa
kosa la kuwaamuru Majeshi kuuwa waandamanaji
waliokuwa wakipinga serikali ya Baba yake.
Inashtusha sana RAIS wa nchi kusema wapinzani
wataona cha mtemakuni na ikiwa hao wapinzani
watashinda je yeye hataona cha mtemakuni?
Mh Rais Siasa sio Uadui hata ifikie mahala utamke
maneno ya vitisho na kukebehi kwa vile tu ww ni
rais. Siku moja historia itakuhukumu kwa kauli na
dharau zako haswa ukiwa km kiongozi mkuu wa
nchi.
Tulidhani kwamba NAPE anavyoropoka ni kichwa
hakiko sawa sawa kumbe ni maagizo kutoka
kwako?
Tanzania ni mali ya kila Mtanzania na kwamba
uongozi wa nchi hauna hati miliki na chama
kimoja, mtu wa dini fulani au Wa kanda fulani.
Ikifikia huko basi tujue hatuna tena nchi isipokuwa
tusubiri vurugu.
Mh Rais nataka nikuhakikishie kwamba mwaka huu
hata km utatumia Majeshi, bunduki, vifaru na
Mabomu ili kumkabidhi MWALI kwa asiestahili kwa
kuwa tu ww ni Rais( mwenye mwali) hakika utajua
kwamba Watanzania wa leo sio wa mwaka 1995
enzi za Lyatonga Mrema.
Rai yangu kwako na kwa chama chako ni kuwa
mkubali kushindana kwa hoja na sio vihoja lakini
pia pale mtakaposhindwa mkubali kuwa
mmeshindwa ili msije ingiza nchi ktk machafuko
pasipo na sababu.
LOWASSA ni Mtanzania ana haki kuwa Rais sawa
na ww kama Watanzania wataona anafaa na kumpa
kura tar 25 October 2015.
Lakini nikukumbushe tena kwamba unachokiwaza
ww sicho anachokiwaza MUNGU. Mara zingine mh
Rais uweke maneno ya akiba na ujitahidi kuwa na
Kumbukumbu.
Ni mwaka huu tu km sikosei ulitwambia
Watanzania kwamba KATIBA MPYA itapatikana na
utahakikisha kuwa unapoenda kuondoka
madarakani utatuachia katiba mpya. .!!! Je pamoja
na kuwabeza wapinzani(UKAWA) km unavyowabeza
na leo mlifanikiwa kupata hiyo Katiba mpya au
imekuwa Hadithi km ambavyo itakuwa baada ya
tar 25 October?
Mh Rais nchi hii sio mali yako km unavyotaka
kutuaminisha hata leo ifikie mahala uamini
kwamba ww ndie mwenye kuamua au mwenye
mamlaka kusema nani awe na ni nani asiwe Rais
wa Tanzania
Huko ni kujipa matumaini ambayo siku moja
unaweza kujikuta unajuta na kujilaumu kwa
yatakayoenda kutokea.Cheo ni dhamana!!
MARA ZINGINE NI BORA KUWEKA AKIBA YA
MANENO...

Mwisho
Mh. Kikwete jiandaeni kisaikolojia kukabithi nchi kwa amani chini ya Chadema na Ukawa.
"Ukitaka kuzuia mabadiliko yatakubadili"

Mimi sina kadi ya chama chocho lakini nawakemea, acheni ujinga wa kisiasa. Mbona viongozi wa upinzani wanapotoa vitisho kila kukicha hamsemi? Kuna vitisho zaidi ya "PATACHIMBIKA, NCHI HAITAKALIKA, DAMU ITAMWAGIKA N.K" Mtalaaniwa na Mungu kwa kuendekeza uchochezi.
 
Well said. JK haamini kama anakabidhi nchi kwa wapinzani itakuwa heshima kwake kuacha uchaguzi uwe wa huru na haki na watanzania watamkumbuka kwa hilo tu maana hana jingine atumie hii golden chance! Amuheshimu Mungu na awe na hofu ya Mungu vinginevyo maneno yake yatamuwinda.
 
hizo zote kauli za kishujaa sio yeye pekee aliyezitoa,mbona lowassa alianza kuzitoa tena hata kabla ya kukatwa na watu hamkuongea,hizo zote ni propaganda hazina budi kutokea esp kwa wakati mgumu kama huu in addition rais naye ni mwanachama wa ccm sioni shida yey kumnadi rais wao waliomteua hata mbowe angekua rais angemnadi vilevile lowassa...na ishu ya kupanic alianza kupanic lowassa baada ya kujiaminisha hatakatwa na akakatwa
 
Kapanik, kwa mara ya kwanza nimemuona anakata viuno kuforce aonekane ana confidence
 
wakati mwingine tumhurumie maana tukio linalomjia mbele yake ni zito sana. hasa ukizingatia kuwa iko dhahiri kwamba udhaifu wake yeye ndio unaosababisha hali hiyo.inasikitisha lakini hakuna namna. tumwombee tu asije kuchanganyikiwa zaidi akatumia vibaya muda mchache ulobaki kwa kuvuruga amani.
 
Acheni kutisha watu nyie timu fisadi. Mbona hamjadili kauli za "rais" wenu aliyesema atashinda asubuhi au "ushindi ni lazima". Hivi kwa double standard hizi ndio mtaweza kweli kuongoza hata ikitokea miujiza mnashinda?
 
Sisi wabongo ndo mbulula. Wao wanapga noti cc kulalama tu tukipewa buku hoyahoya kibao mpheeeewwww!
 
Hiki kipengele kimenigusa sana Tanzania ni mali ya kila Mtanzania na kwamba
uongozi wa nchi hauna hati miliki na chama
kimoja, mtu wa dini fulani au Wa kanda fulani.
Ikifikia huko basi tujue hatuna tena nchi isipokuwa
tusubiri vurugu.
 
Mimi sina kadi ya chama chocho lakini nawakemea, acheni ujinga wa kisiasa. Mbona viongozi wa upinzani wanapotoa vitisho kila kukicha hamsemi? Kuna vitisho zaidi ya "PATACHIMBIKA, NCHI HAITAKALIKA, DAMU ITAMWAGIKA N.K" Mtalaaniwa na Mungu kwa kuendekeza uchochezi.

Na hata kauli ambayo Lowasa aliitoa jana, ingetoka kinywani mwa Kiketwe ingewakereketa watu. Tutashinda asbuhi mapema.
 
Ni masikitiko makubwa kwa maneno aliyoyasema Mhe. Rais. Nawaomba maneno yake yakemewe makanisani na misikitini.
 
NAPENDA KUMTAHADHARISHA MH RAIS KIKWETE
KUHUSU KAULI YAKE!!
Jana akimpokea mgombea kiti cha Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndg Pombe
Magufuli, wakati akienda kuchukua fomu kutoka
tume ya taifa ya uchaguzi mh Kikwete alijitapa
kuwa wapinzani ktk uchaguzi wa mwaka huu ni
sawa na timu ya mpira na watakua wakisimama tu
huku magoli yakiingia(wakifungwa).
Haikutosha alisema kwamba MWENYE MWALI NI
YEYE na kwamba atahakikisha anamlinda. Au kwa
maneno mengine ataamua yeye kuwa nani ampe
MWALI(Kiti cha Urais)
Kwangu mm naona km Mh Kikwete kwanza
ameonyesha mshutuko mkubwa sana kwa kuwa
hakuwahi kutegemea anayoyaona na kuyasikia
sasa. Hivyo basi anachojaribu kukifanya ni
kuwatisha UKAWA(mgombea wao) kwa kutumia
madaraka yake aliyonayo.
Naomba nimwambie mh Kikwete kwamba jambo la
MUNGU halijawahi kushindwa mahala popote na
kwamba anapotumia madaraka yake kuwatisha
wagombea wa vyama vingine hiyo sio demokrasia
ila pia asisahau kwamba cheo ni dhamana siku
moja anaweza kujikuta yeye ndie akaona cha
"Mtema kuni" badala ya hao anaowaambia.
Ajiulize GHDDAFI NA wanawe wako wapi leo
pamoja na kuwaita WALIBYA "Panya"?
Mtoto mkubwa wa aliekua Rais wa Libya
(marehemu sasa) yupo Gerezani na wiki iliyopita
alihukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa
kosa la kuwaamuru Majeshi kuuwa waandamanaji
waliokuwa wakipinga serikali ya Baba yake.
Inashtusha sana RAIS wa nchi kusema wapinzani
wataona cha mtemakuni na ikiwa hao wapinzani
watashinda je yeye hataona cha mtemakuni?
Mh Rais Siasa sio Uadui hata ifikie mahala utamke
maneno ya vitisho na kukebehi kwa vile tu ww ni
rais. Siku moja historia itakuhukumu kwa kauli na
dharau zako haswa ukiwa km kiongozi mkuu wa
nchi.
Tulidhani kwamba NAPE anavyoropoka ni kichwa
hakiko sawa sawa kumbe ni maagizo kutoka
kwako?
Tanzania ni mali ya kila Mtanzania na kwamba
uongozi wa nchi hauna hati miliki na chama
kimoja, mtu wa dini fulani au Wa kanda fulani.
Ikifikia huko basi tujue hatuna tena nchi isipokuwa
tusubiri vurugu.
Mh Rais nataka nikuhakikishie kwamba mwaka huu
hata km utatumia Majeshi, bunduki, vifaru na
Mabomu ili kumkabidhi MWALI kwa asiestahili kwa
kuwa tu ww ni Rais( mwenye mwali) hakika utajua
kwamba Watanzania wa leo sio wa mwaka 1995
enzi za Lyatonga Mrema.
Rai yangu kwako na kwa chama chako ni kuwa
mkubali kushindana kwa hoja na sio vihoja lakini
pia pale mtakaposhindwa mkubali kuwa
mmeshindwa ili msije ingiza nchi ktk machafuko
pasipo na sababu.
LOWASSA ni Mtanzania ana haki kuwa Rais sawa
na ww kama Watanzania wataona anafaa na kumpa
kura tar 25 October 2015.
Lakini nikukumbushe tena kwamba unachokiwaza
ww sicho anachokiwaza MUNGU. Mara zingine mh
Rais uweke maneno ya akiba na ujitahidi kuwa na
Kumbukumbu.
Ni mwaka huu tu km sikosei ulitwambia
Watanzania kwamba KATIBA MPYA itapatikana na
utahakikisha kuwa unapoenda kuondoka
madarakani utatuachia katiba mpya. .!!! Je pamoja
na kuwabeza wapinzani(UKAWA) km unavyowabeza
na leo mlifanikiwa kupata hiyo Katiba mpya au
imekuwa Hadithi km ambavyo itakuwa baada ya
tar 25 October?
Mh Rais nchi hii sio mali yako km unavyotaka
kutuaminisha hata leo ifikie mahala uamini
kwamba ww ndie mwenye kuamua au mwenye
mamlaka kusema nani awe na ni nani asiwe Rais
wa Tanzania
Huko ni kujipa matumaini ambayo siku moja
unaweza kujikuta unajuta na kujilaumu kwa
yatakayoenda kutokea.Cheo ni dhamana!!
MARA ZINGINE NI BORA KUWEKA AKIBA YA
MANENO...

Mwisho
Mh. Kikwete jiandaeni kisaikolojia kukabithi nchi kwa amani chini ya Chadema na Ukawa.
"Ukitaka kuzuia mabadiliko yatakubadili"

Hivi kabisa unajipa matumaini kwamba mtashinda uchaguzi huu, ama kweli sisi watanganyika tunashida kubwa, leo ni shujaa mpaka kumfananisha na Mtume... Aya yangu macho na maskio!!
 
Back
Top Bottom