Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

Binadamu hatuna jema jamani. Ni humu humu JF tumeshikia bango JPM kwa kuwaogopa akina Lugumi na wenzake. Leo hii serikali inachukua hatua...kudai kodi.....wengine tunasema ni maigizo. Kiukweli sijui waTanganyika tunataka nini.

Hivi kweli TRA ni wajinga wakakamate mali zake bila sababu? kwamba hawajampelekea notice ya kulipa? Tunasahau kwamba hata hizo hela zenyewe zimetoka serikalini. Mara kibao tumeambiwa miradi fake fake ambayo Lugumi amedeal nayo..ni humu humu JF tumelia na ufisadi wa Lugumi kuliko ufisadi mwingine. Leo serikali inamdai tunasema ni maigizo? sasa tunataka hiyo serikali ifanye nini haswa? We need Governement of Jesus aiseeeee....

By the way hapa watakuja wenzangu watasema..ooohh..mbona hajakamata IPTL..MEREMETA..NK. Lakini ukweli ni kwamba huwezi peleka kila mtu mahakamani....kuna stages.....ukifanya hivyo..serikali most likely itashindwa hizo kesi....na ikishindwa tutakuja hapa hapa kusema kwamba wanasheria wa serikali walikula rushwa au ni fake! Ilmradi tuna sababu ya kuwaponda...

Of course, kama nilivyosema kwingineko mtu akikuchukia cannot see anything positive from you. Na hii ndo Changamoto ya critics wengi wa JPM. Hata angefanya nini..they will never see anything good of this Man from Chato!

JPM ana mapungufu mengi kama Kiongozi na kama binadamu. Lakini tujitahidi kuona hata yale mazuri kidogo anayoyafanya. Otherwise..tutakuwa tunalalamika tuu for the next ten years! and at the end of the day...we will have achieved one thing only. NOTHING!

Natamani JPM afanye improvement kwenye uongozi wake-and he should. Lakini kuwa critic kwa kila kitu anachofanya haisaidii kabisa.
Watanzania walishalipotiwa kuwa na low IQ mkuu, usiumize kichwa sana
 
Wrongly presented. Licha ya kumpatia tenda kwa upendeleo, utawala wa JK ulikwa unaipatia misamaha kampuni ya Lugumi misaada ya kodi ambayo hakustahili (rejea CAG Report; 2017). Kwa mujibu wa CAG report ni kuwa Lugumi Enterprises haikustahili tax exemption hizo kwa hiyo TRA wamekwenda kudai kodi iliyokuwa corruptly exempted. Achana na preconceived negative sentiments.

Kwa hiyo, kama ingekuwa si exemptions Lugumi ilitakiwa awe na FAIDA ya Bil 46.7, kwa kodi ya Bil 14. Kwa hesabu rahisi hakuna value for money kwenye tenda za taasisi.

Kweli Serikali ilikuwa inapigwa vibaya sana huko. Exemptions cheni yake ndefu, kuanzia TIC, TRA na kuendelea.

U
 
Namna pekee kampuni itafutwa kwenye vitabu vya msajili wa makampuni ni kuandikwa Mufilisi. Kampuni ya Lugumi ikiandikwa Mufilisi huwezi ishitaki tena. Naona hii ni janja ya nyani tu. Hiyo kodi imetokana na biashara gani na alikuwa na mtaji mkubwa kiasi gani??? Hata Trump hajawahi lipa kodi hiyo kwa miaka 3 tu.
 
Namna pekee kampuni itafutwa kwenye vitabu vya msajili wa makampuni ni kuandikwa Mufilisi. Kampuni ya Lugumi ikiandikwa Mufilisi huwezi ishitaki tena. Naona hii ni janja ya nyani tu. Hiyo kodi imetokana na biashara gani na alikuwa na mtaji mkubwa kiasi gani??? Hata Trump hajawahi lipa kodi hiyo kwa miaka 3 tu.

Tattizo wewe unaongea vitu vya kufikirika wakati watu wameshafanyakweli huko. Gazeti limeandika mali zake zimeshakamatwa wewe unaongelea habari za yeye kujifilisi wapi na wapi?
 
Habari wadau!
Nimesoma vichwa vya habari kwenye magazeti kuwa mali za Lugunm zakamatwa akidaiwa kodi ya zaidi ya bil 14 na TRA.

Mie naona tunapiga sarakasi huku tukiwa tumevaa taulo.

Nijuavyo mimi anapoomba tenda kaiwaida lazima awe na tax clearence toka TRA ndo upewe tenda kuashiria hudaiwi kodi ili usije tumie pesa ya mradi kulupia madeni hasa kodi na tozo mbalimbali.

Iweje leo ndani ya miaka 3 awe anadaiwa zaidi ya bilioni 14 kwa biashara ipi anayofanya huyu Lugumi.

Kumshitaki kwa kosa la ufidlsadi inaonekana kuna watu serikalini wataguswa hasa toka chama kileeee. Ili ionekane anakufa nayo kama Lugumi wamekuja na njia nyingine kuwapumbaza wananchi

Hili jipu naona liko kwenye paji la uso inamaana mtumbuaji halioni? Au kwakuwa ni kampuni toka kanda maalum
sasa nihatari ,basi hadi maafisa wa tra na alipokuwa anapata tenda wawajibishwe.maana huwezi omba tenda bila tax clearance ,ni kweli
 
Leo ndo nimeamini kuna watu kama K.. hawaeleweki at all. Kabla lugumi hajaguswa watu wanasema eti mkuu anamwogopa.. Ameguswa watu bado wanapinga. Kafieni mbele.. b14 lazima zilipwe otherwise mansions zitaondoka.
Unaamini hilo deni litalipwa au Mali kutaifishwa tuanzie hapo!
 
Huyu amita bachani wa ccm,ana andaa na kucheza sinema mwenyewe ! Mwenzie,amita alisaidiwa kuandaa sinema na alicheza na wahindi wenzie.hivi hajui,hana mbinu mpya tena ya kudanganya wananchi walio wengi?
Frot fot zote zimejaa hakuna pa kimuweka !
Labda ajaribu marigamation,anaotaka wamkamate Mange,huko atapata,ukurasa wake.
Umekiuka kiapo cha maskini kaka,hakuna anayekuelewa tena.matusi wewe,kebehi,dharau,udhalilishaji,kutotenda haki, chuki,vyote umejilimbikizia,nani atakuelewa,hata uje na igizo la kuzimu,hatuangalii tena.ccm ni chaka la simba haingii mtu umechelewa tumesha shtuka bye.
Yaani nimechekaaa uandishi huu umenifurahisha sana amita bachaa hahahhhh
 
Maigizo tu haya mkuu. kuna watu kwa hapa Bongo ni untouchables na wengine wana vyeti feki.. si ajabu huyo anasumbuliwa kwakua wamegombana na si vinginevyo...
ndani ya serikali kuna vitu wanaita SIRI a.k.a confidential. ndio maana siiamini serikali yoyote ile duniani.
 
Kutoka Zanzibar Majahazi ya kujifanya Wavuvi, Bandari Bubu na Bandari ya Mkokotoni. Ndio wanaojaza mizigo mpaka isiyoruhusiwa na pia kodi hailipwi. Wanunuzi wakuu Bara ni wapemba kwa chuki za Bara wanaunga mkono makusudi.
 
Pia iangaliwe Meli kubwa ya Kimataifa ya Makontena inayopita polepole mbele ya Paje Zanzibar ya mashariki, inashusha vitu haramu sana na kupokelewa na maboti ya mwendokasi yanayojifanya ya Diving activities au fishing.
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Umeona eeh..
 
Namna pekee kampuni itafutwa kwenye vitabu vya msajili wa makampuni ni kuandikwa Mufilisi. Kampuni ya Lugumi ikiandikwa Mufilisi huwezi ishitaki tena. Naona hii ni janja ya nyani tu. Hiyo kodi imetokana na biashara gani na alikuwa na mtaji mkubwa kiasi gani??? Hata Trump hajawahi lipa kodi hiyo kwa miaka 3 tu.
Sasa ulitakaje mfano
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Nikweli yaan ata uki deki bahari watasema unawatimulia vumbi.
 
watu wanaona maigizo kwasababu haieleweki hiyo kodi ya bilion 14 ni kwa biashara ipi hasa,ndo maana watu wanaona kuna usanii hapa,
afterall lugumi scandal yake haikuwa kukwepa kodi unless labda kama serikali ilimlipa yale mabilion halafu wakasahau kumdai kodi,na kama wanamdai kodi sasa ina maana yale malipo aliyolipwa kwa tenda ya fingerprint machine yalikuwa malipo halali
Huu ni kama usanii tu kama walivyofanya kwa scandal ya Escrow,serikali ilihalalisha wizi wa pesa za Escrow kwa kudai kodi.
 
Back
Top Bottom