Recent content by phantomX

  1. P

    Tatu Kikwete ni jipu litumbuliwe

    Mzee nina hasira si kidogo.. Muulize mtu yeyote wa halmashauri ya kibaha atakwambia yani watu wamemchoka, sijui kama ameolewa sijafuatilia maisha yake binafsi
  2. P

    Tatu Kikwete ni jipu litumbuliwe

    Katika halmashauri ya Kibaha kuna hili jipu linaitwa Tatu Kikwete, huyu ni mkurugenzi wa halmashauri ya kibaha vijijini. Jipu hili limekuwa likiwanyanyasa sana watumishi wa wilaya hiyo kisa ana undugu na yule jamaa (Jakaya Kikwete) na hata hicho cheo alikipata kwa kubebwa tu maana elimu yake...
  3. P

    Shoga Mtanzania kwa TB Joshua live

    Kumbe umeona eeh!! Wabongo wengi sana hapo
  4. P

    Shoga Mtanzania kwa TB Joshua live

    Yani live nimetoka kuangalia hapa Emmanuel TV mTanzania ameenda kuombewa kwa prophet, anasema yeye ni shoga..... Aisee dunia imekwisha yani jamaa ni mtanashati, handsome lakini ndio hivyo tena.... Mungu amsaidie aache mchezo huo ila na sisi tuwe makini na watoto wetu hasa kwenye shule za...
  5. P

    Chronicles of a young, ambitious, ever horny and broke social networks player (real story)

    Kwa hiyo umeona ututangazie kuwa wewe shoga? Kweli biashara matangazo... Maana naona unatuandikia kiswanglish na kutuelezea una maanisha nini duh!
  6. P

    Makanisa yamekuwa mengi sana siku hizi

    Mbona hujawahi kulalamika bar dar zimekuwa nyingi?
  7. P

    Prof. Ndalichako fikiria mara mbili mbili katika mambo haya uliyoyaleta hayana tija ktk elimu yetu

    Hebu taja hivyo vitabu elekezi, wenda wewe ulisoma A-level yako mwenyewe...
  8. P

    Prof. Ndalichako fikiria mara mbili mbili katika mambo haya uliyoyaleta hayana tija ktk elimu yetu

    Wewe bwana acha ujinga wako, huwezi ukafananisha maendeleo ya hizo nchi na bongo, hao wana kila kitu wanachotaka hivyo kazi ni mwanafunzi tu kujisomea wkt sisi no vitabu,no teachers,no everything... Bila kusahau kuwa wabongo tunatunga mitihani kukomoana wakati wao mitihani ni fair maana wanatoa...
  9. P

    Prof. Ndalichako fikiria mara mbili mbili katika mambo haya uliyoyaleta hayana tija ktk elimu yetu

    Hivi unajua how difficult it is kupata A? Si ajabu hukupata A hata moja so hujui the hustle.... Kama me muongo post cheti hapa ficha jina na shule
  10. P

    Chronicles of a young, ambitious, ever horny and broke social networks player (real story)

    Napenda sana hizi story though najua ni fix tu... Keep it up novel nzuri sana..
  11. P

    Tatizo la genital fungus sugu

    Thanx rubii ntajaribu huko
  12. P

    Tatizo la genital fungus sugu

    Docta yeye anasema ni michubuko tu eti inasababishwa na joto sasa sijui hilo joto limeniandama mimi tu.... Yani katika suala la usafi ninajitahidi sana nahakikishaga nimejifuta na kuwa mkavu kabisa ndio nivae boxer ila bado
  13. P

    Tatizo la genital fungus sugu

    Hahahaha mkuu umetisha asante kwa kumuelezea bwn mzizimkavu
  14. P

    Tatizo la genital fungus sugu

    Aiseee!!! Yamenifika hapa. Nimekuwa nikisumbuliwa na genital fungus for almost 5 years now, yani kila dawa ninayopaka inanipa relief tu na sio kunitibu, nimewahi kunywa fluconazole ya mwezi mzima lakini wapi, nikaja kutumia griseofulvin ya mwezi pia lakini wapi. Nilijaribu kwenda kwa...
Back
Top Bottom