Aiseee!!! Yamenifika hapa.
Nimekuwa nikisumbuliwa na genital fungus for almost 5 years now, yani kila dawa ninayopaka inanipa relief tu na sio kunitibu, nimewahi kunywa fluconazole ya mwezi mzima lakini wapi, nikaja kutumia griseofulvin ya mwezi pia lakini wapi.
Nilijaribu kwenda kwa specialist wa ngozi pale Regency lakini ni ignorant anajifanya anadharau yani yeye ni aina ile ya watu ambao wanajifanya wanajua kitu kabla hata hujawaambia eti anasema sio fungus matokeo yake ananipa midawa ya kupaka ya ajabu ajabu tu ambayo inaniumiza ngozi tu.
Hivyo kama kuna mtaalamu hapa naomba msaada au kama mnajua wapi ntampata specialist mzuri muelewa naomba tujuzane