Shoga Mtanzania kwa TB Joshua live

phantomX

Member
Jul 22, 2015
15
16
Yani live nimetoka kuangalia hapa Emmanuel TV mTanzania ameenda kuombewa kwa prophet, anasema yeye ni shoga..... Aisee dunia imekwisha yani jamaa ni mtanashati, handsome lakini ndio hivyo tena.... Mungu amsaidie aache mchezo huo ila na sisi tuwe makini na watoto wetu hasa kwenye shule za boarding.....
 
nimemuona!! Mungu amemponya' daa na leo watzn walikuwa weng sana
 
Kama aliweza kufika huko Naigeria inaonesha hiyo kazi inalipa. Ndo maana wenzake wanasema kuwa, wana do na wakubwa wa serekali hii. Dah! leo bwana zake wamechukiaje. Swali la kizushi tu. Hivi Tz hakuna manabii wenye uwezo wa kulitoa hilo pepo la sodomaaa? Mbona taab hii?
 
Amejitahid kuwa mkweli mbele za Mungu ili asaidiwe. Kumbuka hata Yesu alisema " Ukinionea haya Mimi nami pia ntakuonea haya mbele ya Baba yangu "

Tusimcheke wala kumlaumu kwani sisi tumeokoka ktk tanuru hili ila hatujui kwa watoto wetu. Cha msingi tumuombee na kuviombea vizazi vyetu.
 
Pls nitarudi baadae nipo hapa nafuatilia sakata la Lungumi kwa ukaribu sana! hii thread naona kama inanipoteza
 
Mkuu hakusema tb joshua kamchomoa mbele kwa unabii, not bad mkuu ameponywa, sasa tuwapeleke ccm wakaombewe kwa ufsad
Hapo kwa masisiemu na ufisadi inabidi maombi yafanyike kwenye eneo maalum sio kanisani mbele ya waumini wengine ikiwezekana msituni manake hilo pepo si la kawaida na likiwatoka livae miti manake upo uwezekano likavamia waumini wengine na kupelekea kero kwa jamii kwingine!
 
Ngonidema;
Unasemaje kuwa Mungu amemponya? Uliona dalili gani? Haiwezekani kuwa kaona hapa home soko limepungua akaenda Lagos? Acheni kumtukanisha Mungu nyiye au weye ni malaika mwenye zamu ya kufuta makosa?
Mkuu #Mangatara# Iman ndiyo umponya mwanadam kwa kile anachoamin kitamponya kwa kusikia, kuguswa au kuombewa, coz Yesu alisema lolote tutakalo liomba kupitia Jina lake,, Mungu wetu mwama atatupa
 
Hapo kwa masisiemu na ufisadi inabidi maombi yafanyike kwenye eneo maalum sio kanisani mbele ya waumini wengine ikiwezekana msituni manake hilo pepo si la kawaida na likiwatoka livae miti manake upo uwezekano likavamia waumini wengine na kupelekea kero kwa jamii kwingine!
hahahahahaaaaaaaaaaaa!! mkuu #gnassingbe# umenichekesha sana kama vp tukaombe misit congo mapepo yakitoka yabakie huko huko teh! teh eeee
 
Weka akiba ya maneno mkuu. Ikimbuke na jamii yako.."Bon Mwaitege anakuambia saaafari bado inaendeleea"

Back
Top Bottom