Kama tunajamii toxic namna hii tunasafari ndefu sana kama taifa yaani haki ya kikatiba ya vyama vya siasa kufanya siasa huru mtu saivi anawaza habari za kuchafuana
Yaani kama mtu ni mchafu ni mchafu tuu kama ni msafi ni msafi tuu watu wanajivika upofu na kuchagua nani wa kumuhukumu kwa...
Lazima kiwanja kiwe maeneo ya makazi ya watu
Matundu ya choo yasipungue 12 wasichana 6 na wavulana 6
Madarasa uenye viwango vya nekta
Walimu waliosajiliwa
Vifaa vyote muhimu vya shule
Akaunti ya shule isiyopungua kiasi cha shilingi 64m
Ofisi za walimu
Aende chuo au aombe kubadilishwa chuo na tamisemi wenyewe na wanapataga punguzo la ada hata malazi sio kama walio omba wenyewe
Na unakuta analilia kwenda 5 huku kwenye ts9 form aliweka advance last priority
Na advance sio kwamba ni ishu sana mimi nilisoma certificate ya accountant niko kazini...
Jenga na kibali itasaidia maana wakikuoa kibali wameshathibitisha eneo kwamba ni sahihi kwa makazi ya watu na hata ikitokea wanatak kuendeleza miji unalipwa fidia maana serekali ndo ilikupa kibali tofaut nakujeng holela
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.