Recent content by pgo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya wanasiasa waliolishindwa bunge ipigwe marufuku, itachochea uvunjifu wa Amani

    Mpaka kieleke kuongozwa na mfalme juha shida sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ahsante John Magufuli kwa kufungua mjadala mpana kuhusu Elimu Tanzania

    Ukweli utabaki palepale kua Jesca ni kilaza wa mtoto wa rais
  3. P

    JamiiForums Tanzania Propaganda vs facts!

    Angedahiliwa kupitia TCU na sio NACTE
  4. P

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina wa hotuba ya rais Mh. John Pombe Magufuli (Picha kubwa)

    Uyo hajielewi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Diva umemaliza. .....
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Tukajadilie wapi ? Maaana hata sehem muhimu za kujadilia wawakilishi wetu wanafukuzwa'bunge'
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kauli za WanaCCM "Hatutaki Vilaza Vyuo Vikuu" zawatokea puani leo

    Acha kupotosha uma kutufanya sis wajinga Kama jpm anavyofanya na mwenzie ndalichako kwa kuita watoto wetu vilaza wakati kilaza ni mtoto wake mwenyewe
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Sio kilaza ni kilaza mkubwa kama ........ anavyokurupuka na maaamuzi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kauli za WanaCCM "Hatutaki Vilaza Vyuo Vikuu" zawatokea puani leo

    Unaongea usichokijua
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

    Bbb
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hakuwa na sifa za kuingia chuo kikuu, akaingia kijanja mwaka wa pili kasimamishwa

    Tanzania bhana kwani mtu kupata maarifa ni dhambi ? Kama anauwezo angeachwa amalize akafanye yake alaf maisha haya sio lazima kuajiriwa kama wengi wanavyofurahia kwa jamaa kusimamishwa maana wao wanajiona wanajua na ukiwauliza na huo uhandis wao kwa Tanzania bora hata Veta wanamaana kubwa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananishangaza sana

    Uwo upekuzi unaoutaka utaweza kuvumilia pindi utakapojua ukweli?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa baada ya kushindwa kusubiri mpaka tufunge ndoa

    Uyo hakupendi alikua anakutafutia sababu ya kukurudishia mahari yako kesho pata mtu mwingine, ingawa pia wanao sali sana wengi huwa ni wanafiki wanatumia dini kama kivuli , achana naye songa mbele maisha lazima yaeendeleee
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mambo wana jf

    Uyu sijui ndio wale chura
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nipeni sababu kumi kwanini nisioe mnyarwanda

    Fanya unachopenda
Back
Top Bottom