Kwanza nakusifu sana kwani unaroho ya Mungu.mshauri mfunge ndoa mapema kama hakuna kizuizi.Penzi kwa binti anayejitambua ni kitu cha gharama na thamani,sio kitu cha kuonjwa kama MIPOMBE YA KIENYEJI inayofakamiwa na kila mtu.Utashusha thamani ukionjesha ovyo
Uwe umehusika au hujahusika lakini kumbuka miaka ya 60 sio miaka ya 2000.Ndiyo ya leo yaweza kuwa sio ya jana.Kumbuka Israel walikaa miaka 400 utumwani na Mungu alijifanya kama haoni vile ili aje ajitukuze vikubwa baadaye dhidi ya Farao.Hakuna nguvu ya giza inaweza kujituza dhidi ya nguvu za...
Mwigulu Nchemba anahitaji kukutana na nguvu za Mungu aliye hai mbaye uchawi wa Farao na Goliati uligonga mwamba.Mnachotakiwa watu wa Iramba ni kufunga na kuomba bila kujali dini yako ili kukomesha nguvu ya ushirikina na kudhoofisha uchawi.Ndiyo maana tunasema kuipenda ccm ni kuipenda jehanamu na...
Mambo haya yakithibitika mbatia atajiuzuru,yeye sio mjinga hadi aseme HAKUNA MTAALA RASIMI WA ELIMU:-
1.SHARTI MITAALA HIYO IWE NI MITAALA RASMI YA ELIMU.
2.HIYO MITAALA ITHIBITIKE KUWA SIO RASIMU ILIYOANDALIWA 2012.
3.HIYO MITAALA IWE RASMI SIYO YA JUMLA...
AMA KWELI CCM IRAMBA MWAKA 2015 ITAKUWA KAMA KAKIKUNDI CHA WACHAWI NDANI YA KANISA;
Kamanda tupo pamoja nafuatilia vilivyo M4C Iramba,nipo hapa naandaa madiwani zaidi ya 15 walioHITIMU vyuo vikuu kuja kuungana na Dr.KITILA kuchukua jimbo na kata mbalimbali huko Iramba magh.kwa...
KAMA ZITTO ANAYASOMA HAYA NI VEMA AKAZINGATIA YAFUATAYO;
1.Biblia inasema heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu asyeweza kusikia tena
maonyo
2.Ajikwezaye atashushwa na ajishushaye atakwezwe
Ni hatari sana kama uliingia CHADEMA...
Tumezoea propaganda ndani jamii,lakini cha msingi ni lazima uelewe kuwa miaka ya 2000 sio sawa na miaka ya 1980 na jamii ya leo sio jamii ya jana.Kumbuka siyo ya jana yaweza kuwa ndiyo ya leo.
Ninachotaka ujue ni kwamba propaganda hazina nafasi katika jamii ya leo,kinachoangaliwa ni...
Nasikitika sana kuwa na mbuge asiye na uwezo wa kuunda hoja binafsi,badala yake amechochewa na wenzake ili ajiaibishe mbele ya bunge kwa kuiba sera za CHADEMA (REDMADE). Ndiyo maana pengine waziri ameweka kizuizi cha hoja hiyo.Sasa kama wenzake wanamchochea na kumpinga hivyo,ujue yu karibu...
Kenya kabla ya 2002 walisema "kushindana na KANU ni sawa na kukata mbuyu kwa wembe",waulize uchaguzi wa 2002 KANU ilikuwaje.Ilipofika uchaguzi wa 2007 historia ya KANU ilimalizika Kenya hadi leo.Nakuhakikishia historia ya mwigulu na ccm itapotea 2015,watakao salia watakuwa kama kakikundi cha...
Nimeikubali hii mkuu,umesahau kata za mbelekese,urughu nao wamesema hawamtaki kiongozi wa namna ya mwigulu nchemba.Kwa taarifa mshauri wake wa ndago na viongozi wote wastaafu na makada wa chama cha ccm, walishahama siku nyingi tunao CHADEMA.Siku hizi akienda ndago hana hata wa kumpungia mkono.
Ama kweli kuikumbatia ccm ni kuukumbatia umaskini,majimbo karibu yote ya ccm ni maskini,hakuna maji mf.jimbo la iramba kwa mwigulu.Hii ni aibu na fedheha kwa wanaoendelea kuikumbatia ccm,watapinda migogo kwa kubeba maji kwa zaidi ya km 5,
kumwambia mwigulu nchemba atashinda jimbo la iramba 2015 ni sawa na kumtia moyo mwathirika. Mechi ya kitila na mwigulu hii hapa; hadi leo hii ninapo andika matokeo haya mtandao wetu jimboni unaonesha mwigilu 21.4% watampa kura 2015 na Kitila mkumbo 78.6% watampa kura 2015.Kwa tahtimini hii vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.