Recent content by Petson Mshindo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mauumivu ya korodani wakati wa kukojoa

    Wakuu, Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya korodani (pumbu) hasa nyakati za kukojoa na maumivu haya hutokea tu endapo nimekunywa maji mengi sana.. May be lita 2 au lita 2 na nusu mida ya asubuhi baada ya kuamka.. Naombeni kufahamishwa hii ni kwa sababu ya nini? Na suluhusho lake je?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli: IPTL ni mkataba wa ovyo, Serikali haitaendelea nao!

    ok ivi ametumbua jipu...? au
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    ok mkuu thanks nimekupata
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    sijakusoma mkuu so tujisajili uku uku cwt au.?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    jamani sasa sisi ambao ndo tunapewa ajira soon mnatushaurije....? tuachane na cwt......? nahichi kipya je kipo halali kisheria...? tupeni mwangaza tusije tukakosea mapema...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    kitenzi kisaidizi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

    Hongera bro nimeielewa sana bora itokee ovo
Back
Top Bottom