wengi wame chagua st joseph sababu ya second round...kwavile vyuo vilivyo baki vilikuwa na facult mbaya ila tu st joseph ....je wewe unae isiphia st joseph kwann huku i apply mara ya kwanza umekuja ku apply second round...na ujiulize chuo gan cha medicine ambacho hakijai hadi sasa ukiingia secnd...
si ndo wanafunzi wA pale st joseph
arusha...tumefanya hivi ili wadogo zetu wasije
kuumia km sisi..na paka saiv wanafunzi zaidi ya
100 wameacha chuo kwa maana ya kuchukua
barua za termination na ku apply tena first
year..tume toa elimu ya kutosha ...hatuna deni
so unaetaka kuapply apply...
ina niuma sana kuona wanao potosha watu niwale walio soma vyuo vikubwa km udom na udsm then wana washaur watu wakasome st joseph ...try ku tafuta member yoyote wa st joseph kitivo cha elimu utapata data kamili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.