Recent content by Petition

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

    AMA KWELI CCM YA SAMIA NI GENGE LA WAHUNI. YAANI WAMEZIMA MTANDAO YOUTUBE ILI WATANZANIA TUSIMSIKILIZE POLEPOLE MUDA HUU MBWA KABISA HAWA.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mkusanyiko usio halali ni upi? Kwa kifungu gani? Hizi mbinu alitumia mkoloni pia kudhoofisha wapigania uhuru

    Hawa CCM na Polisi kwa kweli ni mashetani wakubwa. Siku ukombozi wa Tanzania utakapofika watanzania tuhakikishe manyangau yote tuyaburuza mahakamani na kuyashtaki tukianza na IGP mwenyewe. Pia lazima jeshi lote la Polisi livunjwe liundwe upya kabisa.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tuwekeane vikwazo, tunashindana na nani?

    Maisha yanapaswa kuwa mepese tu. Na ndivyo Mungu alipanga na kutaka tangia zamani za Eden. Tatizo tamaa ya mwanadamu kutaka kupata zaidi ya anachohitaji kuishi. Fikirian mtu kama SAMIA, ana pesa pamoja na pension nzuri ya uraisi, lakini bado anangangana hata kutesa na kuua mwanadamu mwenzake...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kama umefikisha miaka 40 na hujapata KAZI. Achana na kutafuta kazi omba kibali cha biashara

    Umesema vyema mkuu. Mawazo mazuri. Pia ukifika miaka 55 kama una ajira ni bora uchukue mafao yako uanzishe biashara au shughuli yako binafsi ambayo itakutunza beyond umri wa kustaafu. Husisubiri miaka 60 halafu ustaafu na kuanza shughuli/biashara yako, hutakuwa na maarifa wala nguvu za kutosha...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

    NI kwamba Mungu ndio ana jua yote pamoja na mwisho wako utakuwaje eiher mbinguni au Motoni. Ila sio kwamba amekupangangia kwenda sehemu yoyote kati ya hizo. Huo ni uchaguzi wako ila ni kwamba ameshajua utachagua nini.
  6. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msikie Kikwete, Alisema Uchaguzi wa Kenya ni wa Uwazi, lakini Tanzania anataka Tuendelee na staili zetu za Uchaguzi

    Huyu Kikwete kwa sasa anapalilia ULAJI wa mwanae Ridhiwani na mkwewe Mama Salma ili waendelee kuwa Bungeni na serikalini awamu inayofuata. Kiiukweli Kikwete amenifanya nimdharau sana. Sasa na pesa ya serikali (yetu) anayokula ya kustaafu anaila bure na halitendei haki taifa letu kwa kuendelea...
  7. P

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORMS, NO ELECTION. Hatuwezi kuendelea kudhulumiwa na hawa manyangau CCM na Tume yao.........ENOUGH IS ENOUGH
  8. P

    JamiiForums Tanzania Aliyeleta taharuki mtandao wa X ni raia wa nchi nyingine, na aliyekosana na serikali ni Gwajima, kwanini hukumu ijumuishe watanzania wasio na hatia?

    Unachosema ni kukweli kabisa. Tatizo CCM na serikali yote kwa sasa imesambaratika na haijielewi. Imeshafeli na kila kitu kina msubiri au kumtegemea Samia tu na yeye ameshachanganyikiwa na anawaowategea wamshauri ni WAJINGA WASIOELEWA CHOCHOTE kuhusu Siasa wao wanaangalia MATUMBO yao, UCHAWA na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wanafanya Utekaji, na Majaribio ya kuua, Kuhakikisha Dola inaendelea kusalia Madarakan kupitia CCM, Watanzania Mwaka huu tulazimishe Mabadiliko

    Umenena vizuri Mkuu. LAZIMA TUKOMBOE NCHI YETU IKO MIKONONI MWA MAHARAMIA WA CCM. WATANGANYIKA MWAKA HUU TUSIKUBALI TENA CCM IENDELEE KUKAA MADARAKANI. Hawa ni WAUAJI NA WATEKAJI wakubwa na SAMIA anajua kila kitu ni kuna baraka zake. TUSIKUBALI TENA KAMWE CCM NA SAMIA KUENDELEA KUONGOZA NCHI HII...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sikiliza ujumbe mahsusi kwa Rais samia na IGP Wambura

    Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi. Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo. Je...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

    Mkuu unachosema ni sawa kabisa. Mimi ni Simba ila naona usajili huu wa kurundika madogo kikosini hautatufikisha popote labda baada ya miaka 3 hivi. Timu ili iwe na ushindani hasa katika michuano ya CAF vipaji tu havitoshi. Lazima uwe na wachezaji wazoefu, matured ambao wanaweza kuamua mechi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

    Sawa kabisa. Huu na mimi ndio mtazamo wangu. Robertino ni kocha wa hovyo sana. Kwanza anakariri ndio maana kufanya sub kwake ni mzito sana. We mechi ya bonanza unasubiri hadi dk 70 kweli? Robertino ni mbaguzi na sio mlezi wa wachezaji na vipaji vyao hasa vijana. Kwa nini husiwe unawaingiza walau...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!

    Wewe ndio hamnazo kabisa. Kisheria si kila rufaa hufanya maamuzi ya awali yabaki. Nikupe mfano: mtu akikushtaki umechukua shamba lake, akashinda, halafu wewe ukakata rufaa, Je anaweza kuja kulima kwenye shamba kwa sababu tu alishinda kesi ya awali? Kijana, husiwe mbumbumbu wa sheria
  14. P

    JamiiForums Tanzania Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

    Umesema ukweli mtupu. Simba BACK PASS zimezidi sana. Hakuna mchezaji anayeangalia kupeleka mpira mbele. Simba inapoteza moves na muda kwa ma backpass yasiyo na maana kabisa. Hili Kocha ni wa kulaumu. Hivi haoni hili tatizo hili kulirekebisha kwenye uwanja wa mazoezi? Nasema tena kocha HAFAI...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kocha Pablo arudi darasani

    PABLO hafai hafai kabisa. Mfumo wake wa lushambulia haueleweki. Anashindwa kupanga kikosi kulingana na mpinzani na aina ya uanja. Annanza je na wakabaji watatu bila kuweka kiongo mshambuliaji asilia? Sacko ni mzuri katika kkutambuka walinzi na kulisha washambuliaji wa mwisho na angefaa acheze...
Back
Top Bottom