Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,313
- 10,017
Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.
Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.
Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.
Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.
Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?