Recent content by Petit

  1. P

    New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

    ww ubongo wk n fukara sana,sina hakika km nchi hii itatoka hapa tulipo ikiwa nyinyi ndo wasomi na wazalishaji wa fikra za kimapinduz ktk Taifa hili. Ndo ss natambua kwa nini viwanda vilikufa vyote.km huoni watu weusi ktk mataifa ya magharibi na hutaki kujiuliza walifika vp kule,ila unajua...
  2. P

    Mwanahalisi imeandika kweli kuhusu hii ya Kikwete na Mkapa? Tuijadili

    Acheni chuki nyie mnaoshindwa kufikir,leo hii hata Mkapa nae anaonekana dhahabu!? Aloyafanya ndo yanaangamiza taifa,umeme wa IPTL,kauza migodi ya dhahabu na kufukia watu hai Bulanhulu,Tanzanite na AFGEM mmesahau? Leo mnajadili kuwa alikuwa na handset moja tena had akupigie.hilo lilisaidia nini...
  3. P

    Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

    kugushi nyaraka ni moja ya mambo CHADEMA wanayoyapigania.tujiulize kati ya sugu na hawa clauds nani wa kulaumiwa?tunamuonea huruma mwiz kwa kuwa anatoka damu,wakati hatutafakari madhara,adhaa na hasara na pengine hatar ya kuperuhiwa au kuuawa kwa aloibiwa.damu kwa mwizi isitumike kumuenz na...
  4. P

    Lowassa vs MwanaHalisi

    kumbuka Kubenea ashawah kutaka kuuwawa au nawe ulishiriki? Kwan tetes zilizopo ni kuwa jamaa alihusika ktj issue nzima.usijaribu kupaka rangi upepo,aliyeanza kumdili ni Mwalimu Nyerere,mwanahalisi ni mwendelezo wa kazi ya Nyerere.usitumike kwa manufaa ya ndoto za mtu mbinafsi na asokuwa na...
  5. P

    Moto wa CHADEMA wawaka Uganda

    Siyo kila maandamano na migomo huwa na lengo jema, mengine ni mabeberu huandaa watu kwa manufaa yao. Tafakar Libya waliandamana kwa sbb kipi kilipanda bei? Walikosa fedha za elimu? Walinyimwa matibabu? Miundombinu ilikuwa duni? Lakini ukweli wa majawabu ya maswali haya na mengine mengi n...
  6. P

    Dr. Slaa na Mbowe ndio wanaiua CHADEMA

    hv ninyi wahafidhina mbona mnasikitisha sana!? Hawa Mbowe na Padri Slaa kwan wao n miungu? Kila atakayejitokeza kuhoji utendaji wao anatukanwa kias hiki.kumbe ndo sbb Taifa haliwez kuendelea km watu sampuli yenu mpo weng kiasi hiki.kumbuken kukosa kuwa na kupingana kwa hoja kumelifikisha Taifa...
  7. P

    JK anaharibu hadhi ya elimu kwa kujiita Dr. wakati siyo, pamoja na wanasiasa wengine

    kwako doctor ni Padri tu.ingawa hatujui ni udaktar wa nini.achen chuki na ufupi wenu wa fikra.mbona mnataka kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu na watu hawahoji? Hiki n cheo cha heshima acheni chuki zenu.
  8. P

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    ckujua kuwa kamati ya Bunge iloundwa kuchunguza ufisadi wa Richmond ilikuwa ya masheikh,ndo sbb wakamwajibisha Lowasa. mwakembe,Sita,Sdelelii,Olesendeka Anna Kilango ni maimamu.Bila utafiti huna haki ya kuongea.
  9. P

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    kwel ni kosa lisosameheka km kuchukua kodi ya wanzania wote hadi Zanzibar na kuyapa makanisa kupitia MoS.Mie naona tugawane NCHI ktk kanda,Pwan waislam na Bara wakristo.naona mnachuki kubwa na waislam,mlijenga mfumo mkawanyima elimu bara,bado mnataka nn kwao? Mkapa kaua wanzanzibar...
  10. P

    Waziri mmoja ni Raia wa Marekani: Gazeti la Dira

    Tunahitaj majibu,vp raia wa USA awe wazir wa Tanzania?juz tu Obama ilimbidi kuthibitisha uraia wake hadharan,baada ya kuhojiwa km n raia wa Marekan au ni raia wa kenya.inamaana hata wao wenye hiyo dual ctizen hawakubal kiongoz kuwa na uraia POPO.vp cye tusihoji umaluuni huu!? Et twaitwa wenye...
Back
Top Bottom