Moto wa CHADEMA wawaka Uganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wa CHADEMA wawaka Uganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 8, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Jana Wabunge wa upinzani wa nchini Uganda walitoka nje ya Bunge la Uganda wakati Rais wa nchi hiyo,Yoweri Kaguta Museveni,alipokuwa anaendelea kuhutubia.

  Tukio hilo lilitokea mara tu baada ya Rais Museveni kuyaita maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini humo kuwa ni fujo.Wabunge wote wa upinzani walimsusia Rais hotuba yake hiyo ya kulizindua Bunge hilo jipya la Uganda linalooongozwa na Spika Mwanamke kama hapa
  Tanzania.

  Hali kama hiyo ilimkumba Rais Jakaya Mrisho Halfani Kikwete pale alipokuwa akizindua Bunge hili la kumi ambapo Wabunge wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA walipotoka nje ya Bunge wakati Rais Kikwete akiendelea kuhutubia.Nini hasa mantiki ya mambo haya?

  Kikwete na Museveni wamechokwa?
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mu7 na jk wamechokwa kwa kuwa wanasema uwongo!!!
   
 3. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  moto huwa unawaka taratibu,ukisikia kwa jirani moto unawaka jaribu kuweka kwako sawasawa
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh,naikubali kazi ya wakenya,...
  wao ndo hua hawana uoga hata bungeni
   
 5. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  moto bado unazidi kuenea mpaka kwa wananchi wote ndiyo itakuwa sahihi
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  samaki wakasirika
   
 7. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kiongozi au chama wakiwa madarakani muda mrefu hupoteza uelekeo. Kwani, Muamar Ghadafi, Husni Mubarak, Mugabe nk walianza vizuri. Walilewa kwa kutawala muda mreefu. Ndivyo ilivyo kwa museveni,kama rais na CCM kama chama. Suluhisho ni kuwavurusha na kuwapopoa popote pale. Hadi ukombozi kamili upatikane, ALUTA CONTINUA!
   
 8. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiona mwenzako ananyolewa nawe tia maji,kizuri kinaigwa,thus waganda wameiga kutoka CDM,illi kufikisha jumbe wao na feelings zao kwa matendo;m7n na JK lao nimoja;wwote wachakachuaji:majani7::majani7:
   
 9. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Jk na Museven hata machoni kwa wananchi hatutaki kuwaona kabisaaaaa!!!.Ningekuwa Mungu tayari mafaili Yao ningekuwa nilishayachoma moto siku nyingi
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa si ndio walijifanya kuiga sera za Chama cha Demokaya na Magwanda ( CHADEMA) za kupenda vitu vya bure bure wakashindwa kwenye uchaguzi, sasa wameiga tena upuuzi. Kweli wajinga wali wao, halafu watamfuata M7 kama huku CHADEMA wanavyo mlilia rais awafanyie wayatakayo
   
 11. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Are you serious?
   
 12. P

  Petit Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo kila maandamano na migomo huwa na lengo jema, mengine ni mabeberu huandaa watu kwa manufaa yao. Tafakar Libya waliandamana kwa sbb kipi kilipanda bei? Walikosa fedha za elimu? Walinyimwa matibabu?

  Miundombinu ilikuwa duni? Lakini ukweli wa majawabu ya maswali haya na mengine mengi n Marekani wanataka kunyang'anya nchi ya Libya haki yake ya kumiliki rasilimali zake, hususan MAFUTA. Pia tukumbuke kuwa Uganda tayari ina mafuta, huenda MAREKANI wamegundua kuyapata kwa mikataba ya Buzwagi imeshindikana kwa Museven, sasa wamewatengeneza kina Besigye kwa malengo yaleyale ya Benghaz.

  Kwa nini nasema hivi? Kwa sababu Museven hakukurupuka kuita wawekezaji wakati waganda hawajawa na ujuzi na taaluma ya mikataba ya malighafi hii, hivyo ilibidi akasomeshe vijana wa kignda kwa maandaliz ya faida ya taifa hilo.

  Kwa mbinu hiyo wamarekani wamegundua kwa Museven mchana unageuka usiku kwao, cha msingi kumuondoa tuweke akina Besigye, kwani wao wanahitaji kutawala tu.

  Chonde wanajamii migomo na maandamano ktk nchi zetu tuyapime kwa wigo mpana, nyuma yake kuna watu wana agenda tofauti. Tukishaanza chinjana wao huwa wako LONDON, NEW YORK, PARIS na kwingine kwa walowatuma kazi.
   
 13. m

  mkulimamwema Senior Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kilichobakia ni wananchi kususia mikutano ya mafisadi
   
 14. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,088
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni wajeshi na wanaongoza kijeshi,tofauti na Kagame.

  1.m7,J.K wanafuja sana kodi za wananchi

  2.Wanachuuza rasilimari za wazawa na kibaya zaidi

  3.Wanaendekeza rushwa kwenye nchi zao,mbali ya hvyo hawa jamaa

  4.Wanazigeuza serikali na vyama vyao kuwa sehemu ya familia zao.i.e (wake,watoto,ndugu,mashemeji n.k)

  Kwa hali hii,hawa jamaa ama wajiuzuru wao ama wapinduliwe,kamwe hawatabaki salama
   
 15. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kikwete na M7 lao moja.
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  safi sana bado kenya,rwanda,na burundi
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!ipo kazi afrika sasa haitawaliki!!!!
   
 18. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Waganda wamefanya vizuri
   
 19. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Sidhani
   
 20. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Petit ongelea tu ya TZ na UG haya ya Libya ni tofauti hata kama USA wana mkno wao katika yale maandamano lakini ki ukweli Libya uliyokuwa unaifahamu ilikuwa Tripoli na maeneo aliyotoka Ghadafi kwingineko hali ilikuwa mbaya sana!
   
Loading...