KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA
MWAKA 1977
(SURA YA 2)
________
KANUNI
________
[Zimetungwa chini ya Ibara ya 89]
_______
KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE, TOLEO LA 2007
_______
.....
...........
71.-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Ibara ya 100 na 101 ya Katiba, Haki ya mtu yeyote...
Wachimbaji wadogo wadogo wa MADINI katika mgodi wa NYANGARATA huko KAHAMA SHINYANGA, wanahofiwa kuwa katika hali mbaya baada ya udongo kuwafukia kakiwa mgodini leo hii.
Inasemekana awali walikuwa wakiwasiliana na ndugu zao kwa simu katika harakati za kuomba msaada wa kuokolewa, ila baada ya...
NAPE kwisha kazi! Ni kelele za Mfa maji tu. CDM haiui kimwili mtu yeyote, inaua DHANA,MTAZAMO,FIKRA NA MAZOEA yote ya KIFISADI.Na hatimaye CCM itakufa.
Nimeangalia wakati Rais akiwaapisha Mawaziri, japo sikufanikiwa kuangalia mawaziri wote, lakini zaidi kabisa sikufanikiwa KUMUONA MWANDOSYA AKIAPA!
Nisaidieni wadau, Mhe. Aliapa vipi? kwamba ''ATASIMAMIA KWA DHATI WIZARA ISIYO MAALUMU,AMA''...
Nawasilisha!
JAMANI; Mmesahau yale ya SIOI SUMARI (mKenya kwa kuzaliwa) kubadilishwa kuwa Mtanzania kupitia MFUMO huohuo wa werema wa kutoa TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI?
Uko wapi utawala wa sheria??
HII NDIO KERO MOJAWAPO KATIKA KLUNDO LA KERO ZILETWAZO NA HAYA MAGAMBA!!
We are fed Up! We need CHANGES.
Hapa naona kunakuwa na utata usio na maana. Katika sheria kuna kitu kinaitwa ''GENERAL RULE'' na kwa upande wa pili kuna kitu kinaitwa ''EXCEPTION'' (Mtanisaidia kutafsiri) Mara nyingi kila general rule ina Exception yake! Mfano; Haki ya kuishi ni 'general rule', lakini kuna 'exception' kwa...
Hapa naona kunakuwa na utata usio na maana. Katika sheria kuna kitu kinaitwa ''GENERAL RULE'' na kwa upande wa pili kuna kitu kinaitwa ''EXCEPTION'' (Mtanisaidia kutafsiri) Mara nyingi kila general rule ina Exception yake! Mfano; Haki ya kuishi ni 'general rule', lakini kuna 'exception' kwa...
ACHENI WAENDELEE KUSHAMBULIWA; Hawa TBC wanakula kodi zetu, wanapokea mishahara kupitia pesa za waTanzania walalahoi, halafu kwenye TAARIFA wanatoa taarifa zisizo na ukweli wala uhakika. Wanajaribu kubeba chama tawala wakasahau kuwa lile ni SHIRIKA la umma! Waendelee kufanya hivyo, na hapo siku...
Rais wa MALAWI BINGU WA MUTHARIKA ameripotiwa kufariki dunia leo. Ni baada ya kupata Mshtuko wa moyo.
President Bingu wa Mutharika of Malawi has died, doctors and cabinet ministers have told the BBC, but this has not been officially announced.
One of the doctors who treated Mr Mutharika, 78...
Baada ya kushambuliwa na Kundi la watu wasiojulikana jana usiku, Mheshimiwa NYNESS KIWIA amehamishwa kutoka BUGANDO na kupelekwa MUHIMBILI kwa matibabu zaidi.
Mheshimiwa alivamiwa na watu waliokuwa na mapanga, marungu, na silaha zinginezo, wakitokea ndani ya magari mawili na kumzingira Mbunge...
Umenena kweli mkuu. Ila tujiulize, kama kila wadhifa utakuwa na mtendaji wake, CDM wana rasilimali fedha za kuwatosheleza watu wote hao kwa sasa? Nadhani kwa muda huu cyo vibaya sana kuwa kama ilivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.