Recent content by PETEROPTIMIST

  1. P

    Wapi wataweza kunibadilishia kioo cha Iphone ?

    mm nataka badilisha housing iphone 4s ni sh ngapi
  2. P

    msaada tecno p5

    mwanzo wa kufa hiyo yangu m3 ilifanya hivyo hivyo mwisho wa cku ikazima kabisa hata neno tecno likawa halionekani tena
  3. P

    Kama wewe ungefanyaje?

    acha arushe kwani akirusha inang'oka hapo kwako ww mpe live mwambie humpi ata mia na akitaka arushe mwisho wa cku atajiona mjinga mwenyewe ataona kumbe hujali wala hatarusha
  4. P

    Guys natafuta modem iliyokua flashed

    mdau mm ninayo ya kwangu ya voda nataka i flushhhh nipe maujuzi bhac@ perepeche
  5. P

    Anayetengeneza pesa anafanya kazi kutafuta nini?

    hata km anatengeneza sio zake, yupo kazini km watu wengine na analipwa kutokana na kutengeneza pesahizo, na pesa huwa zinaingizwa kwenye mzunguko kwa idadi fulani
  6. P

    Arrrrgh! Huu Ucameron huu!

    wanawaharibu tu hao watoto sasa watakua wanamuuita uyo jamaa mama au?
  7. P

    Naomba Msaada jinsi ya kulock Folders kwenye PC

    right click folder then kwa chini utaona kibox kimeandikwa hide put √ baada ya hapo funga folder yako then rudi kwenye ku start computer type folder option alafu click kwa juu palipoapia neno folder option kitafunguka ki folder kwa juu utaona view click kwenye view then ukishuka utaona...
  8. P

    Xtreem fuel treatment

    kwa wale ambao walishatumia bidhaa hii kwenye magari yao, pikipiki, magenerator, ninao mzigo na ninauza kwa promotion( punguzo kubwa) anayehitaji nicheki kupitia 0653732909
  9. P

    lipe jina vazi hili

    vazi la taifa
  10. P

    Harusi ya kilokole mchango laki wizi mtupu

    waongooooo tu wewe mlevi na walokole wapi na wapi, ulishaona swala na simba wakafungiwa zizi moja
  11. P

    Pata simu ya LG kwa laki mbili

    chukua mia 20 faster
  12. P

    Tatizo la message kwenye Samsung galaxy s4 mini

    poleni na majukumu wadau. sasa nimeamua kuuliza humu hii samsung yangu mtu anaweza kukutumia sms ikafika vizuri bila shida tatizo message hiyo hiyo inaweza kuendelea kuingia kwenye simu ata siku tatu mpaka nne mfululizo kwa muda tofauti tofauti. SO KWA ANAEJUA SULUHISHO ANISAIDIE, ASANTEE.
  13. P

    Message kujirudia rudia kwenye sumsung galaxy s4 mini

    Wakuu habari za muda nimekua na tatizo kama hili la meseji ambayo ilishatumwa hata siku mbili zilizopita inakua inaendelea kuingia hata siku tatu mfululizo mbele na si kwa simu hii hata tecno m3 niliyokua nayo kabla ya hii ilikua ni hv hv MSÀADA WADAU sababu inaboa
Back
Top Bottom