Message kujirudia rudia kwenye sumsung galaxy s4 mini

Message kujirudia rudia kwenye sumsung galaxy s4 mini

PETEROPTIMIST

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
80
Reaction score
17
Wakuu habari za muda nimekua na tatizo kama hili la meseji ambayo ilishatumwa hata siku mbili zilizopita inakua inaendelea kuingia hata siku tatu mfululizo mbele na si kwa simu hii hata tecno m3 niliyokua nayo kabla ya hii ilikua ni hv hv MSÀADA WADAU sababu inaboa
 
na mimi yng tecno p5,inanizingua sana sms zinachelewa kufika kwa ninaemtumia na pia zinachelewa kunifikia! msaada wakuu kwa anayejua
 
Back
Top Bottom