Recent content by petermwapalikwa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Leo Tarehe 11/12/2013. Bungeni Dodoma

    chama cha mafisadi yaani ccm hakipendi kitoke madarakani kwasababu ya uroho wa madaraka,maouvu,ufisadi, wizi na rushwa zilizokithiri amazo wanajua cku wakitoka madarakani wegi wao wataishia lupango. hovyo kwa metea haki za wanyonge kama cku wanatumia njia ya mumweka rumande kumtishia n.k ili...
  2. P

    JamiiForums Tanzania NDUGAI: Sijui Wapinzani Walienda Ikulu Kufanya Nini?

    nape,chikawe,lukuvi,wasira na wale wote waliokuwa upande wa kutaka raisi asaini ni selfish.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bunge lilimtuma Kikwete Addis Ababa kujiondoa ICC?

    atashtakiwa tu hata kama ajitoe kuanzia yeye hadi vitukuu ngoja chadema ichukue nchi atakiona.
  4. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamwaga nyaraka za 'siri' Hesabu za Ruzuku; Msajili na CAG wawajibike

    hakuna kitu nisichopenda mnapowaita watu humu mkuu mkuu wakati ni wapumbavu kupiiliza.acheni kuwatukuza malofa.
  5. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    kama upungufu wa akili ni moja kati ya magonjwa basi mleta mada anao.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kinana na Nape waonja joto ya jiwe Bunda

    nape kachoka.hana jipya kabakia kubwabwaja tu. nilimkubali sana kipindi alipokuwa anafuatilia swala la jengo la umoja wa vijana sasa sijui ameshachukua 10% au la maana simsikii tena.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya

    swala la madawa ya lulevya si swala dogo hili ni swala zito sana, hata mtandao wake ni mkubwa saana. jiulize ni kwanini yalikuwwa yanapita airport zote?iwe kia au jkia?pale kuna watu wa usalama,mapolisi na wafanyakazi lakini bado mzigo unapita na utaendelea kupita.kwanini hujiulizi bado watu...
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    sio mbaya ni uamuzi mzuri kama ameona bado inafaa ila bado alikuwa ananguvu za kuendelea kuwa mbunge.hongera zake.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Je JMT ichukue hatua gani kufuatia kauli hizi za General Kagame dhidi ya Rais Kikwete?

    fdrl ni moja kati ya makundi yaliyotangazwa kuwa ni magaidi.Kagame kukataa kukaa meza moja na mgaidi ni sahihi kabisa.napenda kuuliza je ni kwanini marei haikukaa meza ya mazungumzo na osama?fdrl wanataka warudi rwanda wawauwe watusi wote, wakae wenyewe.je hiyo ni haki? na kama ni hivyo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha ujio marais/Obama: Zaidi ya Bilioni 8 zatumika!

    wakipata nafasi ya kula hawafanyi kosa.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

    ikulu ni mahali patakatifu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge aona fahari Tanzania kuingia madeni (eti inakopesheka)!

    Jumanne, nilisikiliza kikao cha Bunge kupitia TB1 jioni na nilisikitika kusikia (mbunge mmojawapo wa CCM kusema) "anaona fahari kwamba Tanzania bado inakopesheka". Alidai hakuna nchi duniani inayojiendesha yenyewe na hivyo kwa vile Tanzania bado inakopesheka ina maana imekidhi vigezo vya...
Back
Top Bottom