Recent content by peter_intelligent

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    ilikuwa ni madhabahu(mazabau) lengo ilikuwa kufungua mpk mbingu ya saba kutokea dunian. mwana alifanikiwa kuzifungua zote, hakuweza kwenda huko juu kwan ghafla tuu alianza kupambana na nguvu ambayo hakujua anapambana na nani. kikosi kazi cha NIMROD kilizidiwa nguvu,wakasalenda hakuna...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    NIMRODI alifanikiwa kuifungua mpk dunia ya saba huko!!! lkn kwa uwezo na maarifa ya SHETAN. madhabahu yake ilitoa kafara za kila aina ili kuweza kuzifungua mbingu,kwa ufupi alifanikiwa,ila nguvu yake ilikuwa ndogo kuliko hiyo aliyokuwa akishindana nayo
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

    nitumie namba yake ya simu kaka
  4. P

    JamiiForums Tanzania Utumishi wana mfumo mbovu wa ajira, mfumo unakataa wenye vigezo

    Kuna kitu hakipo sawa ndio maana inakukatalia ndg,yaan taarifa zako hazijakamilika babu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya umasikini, ujinga na kelele?

    hiyo nyumba itakuwa na UNYAMA mwing sana,
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa?

    mwanangu,maelezo yako ni marefu sana. siku nyingine,elezea tu kwa uchache ili tusikuchoshe na pia vile vile usituchoshe wasomaji
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. P

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

    whabeja sana
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

    sawa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    chake ni chako na chako ni chako mwenyewe. alafu ww dada ulinichomoloeaga aiseee, nilitakaga ni kihonge nyumba ila ukapindua
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume; Jinsi ya kumfanya Binti yako asiwe Malaya

    si mchezo. tunashukuru kwa darasa
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

    Maisha ya ndoa ni raha sana
Back
Top Bottom