kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,189
- 24,611
World bank ni bank ya ibilisi. IMF ni kikundi cha wahuni. Kama mnadhani kukopa IMF na WB ndo suluhisho basi mnajidanganya.
Hawa ni watu hatari sana hawapo kwa ajili ya kuwasaidia binadamu labda wazungu wenzao tu.
Haya ni mashetani ya kutupwa nashangaa tunaendelea kukimbilia mikopo yao huku tukiliangamiza taifa kwa ujinga.
Hakuna jambo hatari kama hili kukopa imf na WB kunusuru uchumi au miradi ni sawa na kutia petrol kwenye moto unaozidi kuwaka.
IMF na WB ni benki za ibilisi.
Najua kuna wajinga watakuja kunitukana hapa kuwa eti ninaandika conspiracy theory muda ni hakimu nzuri sana ngoja tuone huko mbeleni!!!