Recent content by peter willson

  1. P

    JamiiForums Tanzania TPB BANK - BANK OFFICERS (PEMBA).

    .....................YOU..WISE...............
  2. P

    JamiiForums Tanzania TPB BANK - BANK OFFICERS (PEMBA).

    ..................YOU..NUTS................
  3. P

    JamiiForums Tanzania TPB BANK - BANK OFFICERS (PEMBA).

    Habari wana jamvi. Ninaomba kuuliza kwa mwenye taarifa ya nafasi za kazi zilizotangazwa na TPB Bank za Bank officers 2 (Pemba), deadline yake ilikuwa tarehe 16/07/2018. Je wameita watu kwa ajili ya usahili?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TUICO, uliofanyika tarehe 06/01/2018

    Habari wadau. Je ni kweli wameita kwa ajili ya oral interview?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuumwa na Kichwa Baada ya Mazoezi......?

    Habari. Mimi huwa nafanya jogging ambapo huwa natumia saa moja au mawili. Huwa ninaumwa na kichwa baada ya mazoezi (siyo mara tu nimalizapo), nikiwa nimepumzika. Tatizo ni nini, na je itaniletea madhara gani? Naomba kuuliza.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni nini side effects ya vidonge vya water guard katika maji?

    Habari Matumizi ya Vidonge vya water guard, je vina madhara katika afya ya mwanadamu?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tanroads morogoro washaita watu kwa ajili ya interview au ndo tayari washaanza kazi

    Na ukipata majibu kwa simu, urudi kutujuza. Namna tu ya kupashana habari.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Sijaona watu makini kama utumishi portal

    Mwenye info, je ina maana km unakuta status imechange kuwa tembelea ajira portal ni kwamba umekosa vigezo au......?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ajira portal response..

    Helo members! After applying through Ajira portal, getting to know that my application has been successful. How do I receive feedback, is it either through my email or.....?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tanroads - Tanga, je wameita watu kureport?

    Habari wadau. Mwenye information kama Tanroads Tanga. Wameita watu kuanza kazi, maana kimya king I tuko interview zifanyike November 2016? Au mwenye information kwanini recruitment process inatake long time? Shukrani.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwenye majina ya usaili TANROADS, Tanga anisaidie

    Mwananchi newspaper of 11/11/2016.
  12. P

    JamiiForums Tanzania TANROADS Tanga wameita watu kwenye Interview?

    Habari wadau? Nahitaji kufahamu kama TANROADS Tanga, wameanza kuita watu kwenye interviews. Nafasi za kazi zilitangazwa 29/09/2016.
  13. P

    JamiiForums Tanzania TANROADS huwa wanaitaje interview?

    Mkuu, unachokisema ni kweli au, maana watu tulikuwa tunasubiri huku tukipita kwenye website yao. Km kweli, ilibidi wafanye public km walivyotangaza, any way ndiyo nchi yetu
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What is your BACKUP PLAN when everything falls apart? (jobless, divorced, family outcasted, etc)

    From my experience, to me it happened twice but from all you mentioned,i lost also two children, first one due to premature & second had respiration failure. During the first time I became very frustrated and become drunkard, but thank to GOD things turned well but from nowhere the disaster...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    Nafikiri kwa watu wa Imani adui Mkubwa wa mwanadamu ni SHETANI. Kwani kifo ni mauti ya mwili, lakini km dini zinavyotufundisha roho haifi, nadhani utakuwa unatambua nini kitatokea siku ya hukumu, km we ni muumini
Back
Top Bottom