Sijaona watu makini kama utumishi portal

kidome

Member
Jan 5, 2014
80
40
Baada ya wiki za applications za kazi za Tra Leo wamefunga web yao nakama ulikua na slight mistake kwenye application then hakuna excuses utakuta maneno yalojiandika received apo mwanzo yaebadilika nakuandikwa kwa maelezo zaidi tembelea ajira portal ni vizuri tuingie utumishi web zetu then tuview kama bado ziko received thanx wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya wiki za applications za kazi za Tra Leo wamefunga web yao nakama ulikua na slight mistake kwenye application then hakuna excuses utakuta maneno yalojiandika received apo mwanzo yaebadilika nakuandikwa kwa maelezo zaidi tembelea ajira portal.nivizuri tuingie utumishi web zetu then tuview km bado ziko received.thanx wadau

Sent using Jamii Forums mobile app


!
!
Taasisi ziko makini kwenye vitu vidogo vidogo tu kama kupambana na chadema basi.... When it comes to serious issues which needs brains, hell no
 
Back
Top Bottom