Matokeo ya usaili TUICO, uliofanyika tarehe 06/01/2018

Matokeo ya usaili TUICO, uliofanyika tarehe 06/01/2018

sarah6

Senior Member
Joined
May 24, 2013
Posts
134
Reaction score
57
Wadau nauliza kwa yeyote aliyefanya written interview Tuico ya tarehe 06/1/2018, vipi walishatoa matokeo?
 
Mkuu.. Kuna watu tumefanya Oral tar 7 but hadi leo hii empt
 
Ajira Ajira zipooooo hukoooo Ajiran kwa wenye Ajira
 
Habari zenu samahani kuna alie na gazeti walilotoa majina mpaka hv sasa, kuna taarifa Nina shida nayo plzzzz
 
Back
Top Bottom