Ajira portal response..

peter willson

Member
Dec 4, 2015
19
3
Helo members!
After applying through Ajira portal, getting to know that my application has been successful. How do I receive feedback, is it either through my email or.....?
 
Dont u involve ur contacts? I.e mail, phone number, post address etc! If done, u will receive through them!
 
Hahahaha hii lugha ya mwingereza tabu sana Ila ujumbe umefka
Faru John kumbe upo hai? Lugha yetu kibongo bwana ambayo tnazaliwa tunaitumia, sasa lugha ya kuanzia sec tena ngumbalo, tupo vzr kujibia maswali tu ila sio ufanisi zaidi

Ila Mh.Majaliwa anaktafta!
 
Vjana wanasubr kuitwa kwenye Interview natamani kuona mass itakayokuwepo, watakaoitwa wapige pcha jinsi uwanja utakavojaa, nahisi itakuwa kama kuna mechi ya Simba vs Yanga!

Maana makontena yanayosubr ajira ni zaid ya kawaida,
 
Hii ngoma itachezwa kikanda hawawezi wote kuja daslm inategemea utaandka address ya wapi refer national audit
 
Dont u involve ur contacts? I.e mail, phone number, post address etc! If done, u will receive through them!

Tupo pamoaja sana mkuu.

Ujumbe umeeleweka mengine front to front.

Kiingereza tumeletewa tu.
 
Vjana wanasubr kuitwa kwenye Interview natamani kuona mass itakayokuwepo, watakaoitwa wapige pcha jinsi uwanja utakavojaa, nahisi itakuwa kama kuna mechi ya Simba vs Yanga!

Maana makontena yanayosubr ajira ni zaid ya kawaida,
Ulitaka ukafanye usahili peke ako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom