Recent content by peter tumaini

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Lushanga Bus Services Limited afariki Dunia

    Du! nakumbuka Lushanga Bus toka Kakola kwenda Mwanza enzi za Majeshi mtoto wa huyu mzee ilikuwa mwendo mdundo. Pumzika kwa Amani.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Happy Oscars night

    very interesting!
  3. P

    JamiiForums Tanzania hawa ndiyo wabunge wa CCM

    Raha zaidi ya kuliko kazi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kunyoa sehemu za siri.

    wrong thread,....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Vifaa vya kilimo vilivyoko kwenye Kundi la Msamaha wa Kodi(KILIMO KWANZA)

    mkuu, Naomba ufafanuzi hazina kodi ipi labda kati ya hizi; Import duty,custom duty na VAT?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mashine ya Kuatamisha mayai(Incubators) Majibu ya TRA

    Mkuu Chasha, Uzoefu ni mwalimu mzuri just do it utajua gharama halisi na taratibu zote zinazotakiwa. Na from my advice fanya clearance mwenyewe tafuta agent wakupitishia docs zako kisha ingia kazini. Tusijenge uwoga kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe na pia tujenge spirit ya kuwaamini...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni inayo saidia Ku import mzigo/Bidhaa kwa niaba ya

    mkuu, Hiyo ndo kazi yetu.Karibu sana hapa Express chartering and shipping ltd.Tuko Samora Tower, posta mpya hapa dsm. Zaidi ni pm tubadilishane uzoefu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    wapo hapa kariakoo wanatawanywa watu warudi majumbani kwao na wametanda kariakoo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    wanajeshi wanatangaza raia wema kuondoka haraka kariakoo kuelekea makwao.hali haiko vizuri.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    kwa kariakoo gari tatu za jeshi zimeshusha vijana wa kazi na wametanda barabara ya msimbazi.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    kwa kariakoo gari tatu za jeshi zimeshusha vijana wa kazi na wametanda barabara ya msimbazi.
Back
Top Bottom