Recent content by Peter pta

  1. Peter pta

    Hints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma

    Picha ya passport kwenye kava la simu lengo lake nini?
  2. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi ukiwa unaserach taarifa fulani hapa Jamii forum harafu ikakuletea hivyo shida ni nini? Na unasolve vipi?
  3. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Haya kumekuchaa , kazibzitangazwe jmn na wengine tuingie Oral. Not selected for zishatuchosha
  4. Peter pta

    Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Kocha Ameishiwa Mbinu Bhana huyo Chama Unayesema Anamuangusha Kocha Ndiye Aliyefunga Mabao Mawili Away yaliyotusaidia kuingia Makundi
  5. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana Rafiki yangu, Mungu azidi kukusinamamia kwenye utumishi wako.
  6. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Laki 1 inatosha sana inategemea na mipangilio yakoo utakavyobana.
  7. Peter pta

    Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Mbona mm kwebye email yangu sioni
  8. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kiongozi gani au alisema hivyo kuihusu idara gan? imenipita hii.
  9. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aende Wizaaran haraka sanaa sababu serikalini anaweza pata chance ya kusimamia ishu zake nyingine pia Security ya Kazi ni kubwa tofauti na Private.
  10. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inawezekana Wamekaribiaa maana Ni miezi Mitatu sasa Inafikaaa
  11. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Bora yako Hata Ww upo kwenye Shirika maana kuna wengine wanahali Mbay Acha tuu.
  12. Peter pta

    Serikali wafikirieni na vijana waliokuwa wanajitolea TRA

    Mmmh ni kweli kwa sababu hiyo ni Taasisi Nyeti so Inahitaji watu Competent na wenye wenye uzoefu ili Waendeleze Kazi kubwa ya kukusanya Kodi.
  13. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Which mission[emoji1787][emoji1787]
  14. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mliofika oral mnajidaiii tuu, haya Mungu Awape sawa sawa na Mapenzi yenu Ameen. Sisi wengine tunasubiri advert tu nakuitwa kwenye usaili
  15. Peter pta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa kweli post za kazi zimepungua sanaa, utumishi wasitusahau na ambao hatujawahi kufika oral[emoji18][emoji18]
Back
Top Bottom