Recent content by peter mathiasa

  1. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kukosa connection katika ajira

    TAMISEMI nako kunamsemo MKONO MTUPU HAULAMBWI uki-apply bila kuweka kachochote utashangaa form four failure anaajiriwa kufundisha sekondari na wewe na bachelor yako utaachwa. TAMISEMI bila connection bro utaambulia vumbi tu. Hupati kitu
  2. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Tuliaminishwa kuwa Wapinzani ndio kikwazo kwa maendeleo yetu

    Leo Wapinzani wote wameporwa na kufukuzwa bungeni. Na ndio tunaanza kushuhudia RUSHWA zilizokithiri katika suala la ajira, hasa hizi 13,000 za waalimu. Waombaji waliotuma taarifa za uongo wanaajiriwa, ilihali waliokesha kuhakikisha wanatuma taarifa sahihi wakiachwa mtaani. Form four failures...
  3. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

    Mungu atupe uvumilivu, lakini hata uvumilivu una level zake kuna muda utafika hatutaweza tena kuvumilia.
  4. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

    Daaaah!
  5. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

    Yaani nimekesha kuhakikisha taarifa zangu sahihi zinaenda lakini anaeajiriwa ni yule aliyetuma taarifa za uongo?
  6. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

    Kijana masikini aliyekesha internet cafe kwa siku mbili mfululizo kuhakikisha taarifa zake za maombi ya ajira anazi-upload OTEAS kwa umakini asikosee, leo kakosa ajira, na anaambiwa hao waliopata ajira walikosea kujaza form, TAMISEMI wakawarekebishia na kuwapa ajira! Watu hawa wanamjibu hivi...
  7. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Hapa kazi tu!!!!! Serikali imetuambia tuache kutegemea vya kupewa tuchape kazi! Nyie nani aliwaambia mkijipendekeza kujitolea mtapewa ajira? Eti mnalalamika Abadallah kuajiriwa mara 196 acheni uvivu nyie chapeni kazi. Mmeambiwa kila mtu achape kazi nyie badala ya kuchapa kazi mnajitolea...
  8. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Wanajukwaa, Serikali ya kihuni, inayoingia madarakani kihuni, inayoendesha mambo yake kihuni na inayotawala wananchi wake kihuni. Imewafanyia uhuni watoto wa masikini waliokesha internet cafe kuomba ajira. Tuache kuabudu watu tusiowajua.
  9. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Tamisemi yafuta kwenye tovuti yake tangazo la ajira za waalimu 13,000 zilizotangazwa wakati wa kampeni

    Matangazo mengine ya miaka iliyopita bado yapo
  10. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Tamisemi yafuta kwenye tovuti yake tangazo la ajira za waalimu 13,000 zilizotangazwa wakati wa kampeni

    Ikiwa ni miezi miwili sasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na serikali kukaa kimya pasipo kutoa majina ya waliopata ajira hizo. Mbaya zaidi hata tangazo la hizo...
  11. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu kama vile: Elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni dira na elimu ni taa ziondolewe, hazina maana tena kwa zama hizi za Magufuli

    Kwa hali tunayokutana nayo wahitimu wa Vyuo Vikuu mtaani baada ya masomo, nachelea kusema elimu sio tena ufunguo wa maisha na naiomba selikari iziondoe rasmi hizi kauli mbiu. Zinawapoteza sana watoto wa masikini hasa wa vijijini, wanakuwa inspired na kauli mbiu kama hizi kwenye logo za shule...
  12. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Shule yafungwa Dodoma, ilikuwa na walimu 3, wanafunzi 900, wengi walikua mbumbumbu

    2017 juzi tu, sidhani kama kuna mabadiliko yoyote ndg yangu. By theway, nimejitolea, zikachukuliwa taarifa zangu zikapelekwa, Baadae pia nika apply kwa OTEAS nasubiri japo sijui kama nitapata, nishakata tamaa kabisa na sijui nikikosa mwaka huu nitakuwa na maamuzi gani tena.(MUNGU nisaidie)
  13. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Shule yafungwa Dodoma, ilikuwa na walimu 3, wanafunzi 900, wengi walikua mbumbumbu

    Sisi tuliosoma ualimu tukakosa ajira kwa miaka nenda rudi tukisikia habari kama hizi moyo unavuja damu, maumivu ni makali hàyavumiliki kabisa
  14. peter mathiasa

    JamiiForums Tanzania Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

    Kutokana na msoto niliopitia na ninaoendelea kuupitia mtaani, Endapo ikitokea nikapata ajira kabla ya tarehe ya uchaguzi (28/10) basi kura yangu,mama yangu, wadogo zangu na baba yangu zote kwa JPM. Si kwasababu ya udhaifu wala hongo, jamani, maisha ni magumu sana, tena saaana narudia tena...
Back
Top Bottom